Kijana wa cdm apata kipigo baada ya kuupiga mawe msafara wa sioi

Ni kweli kuna kijana amepigwa na nondo kichwani na vijana wa uvccm na akapelekwa kituoni kwa kosa la kuushambulia msafara wa Sioi kwa sasa ameachiwa maana alizushiwa na si kweli watu walishikwa kwa kosa la kuonyesha alama ya V kwenye mkutano wa ccm baada ya kuulizwa watamchagua nani? wengine waliachiwa njiani na waliofikishwa kituoni viongozi wa cdm wemewatoa na walikuwa 3/4 kuusu kadi imerudishwa moja hakuna vifaa vya ofisi ya chadema vimeletwa. Hiki kijiji kilikuwa ngome ya ccm lakini kwa sasa ni ngome ya chadema na tar.2 maneno yangu yatathibitika. Bigman kama ujafanya utafiti bora unyamaze.
 
sing'isi ni ngome ya chadema,hivi majuzi walitaka kumg'oa mwenyekiti wao kwa kosa la kugawa maji hospitalini baada ya ccm kuijinadi wao ndio waliopeleka maji hospitali.
 
Back
Top Bottom