Kijana usitegemee hawa watu watakubadilisha

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,161
3,257
Mwaka wa nne huu upo Dar es Salaam (Mjini)
Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick Shigongo (Motivation Speakers)
'How to be a rich'
(Zimekupumbaza)
Huna hata Toyo ya kuchora. (Huna mafanikio)
Mentors wako wanazidi kufanikiwa
(Wewe unafilisika kila siku)
My brother, my sister
•Wadogo zako uliowaacha kule kijijini kwenu
•Hawamjui Ruge wala Erick
•Hawajui Motivation wala inspiration Quotes
•Wana miliki familia
•Wanaishi kwenye nyumba zao
•Wanakula vizuri hawashindii kipande cha muhindi wa mia(100) kama wewe.
kwasababu akili yako haijiwezi.
Unasubiri Ruge akuambie rudi kijijni (halafu nani asikilize Clauds)
au Shigongo akwambie kalime matikiti au bamia (muda wa kusoma gazeti la IJUMAAA utapata wapi.)
Hakuna wa kukubadilisha zaidi ya wewe mwenyewe
Juhudi na ufanisi katika kazi
Ndio mafanikio yako.
 
Very nice threads
 
Majitu kama haya ndio hayapendeki hata kidogo kwa sababu watu wengi hawapendi kuuskia hata kidogo
Kwa graduate wa level ya bachelor aje nimuajir anisaidie kulisha nguruwe wangu
Salary 80000
Banian mbaya ila kiatu chake dawa
 
Siku moja miaka kadhaa iliyopita (zaidi ya 10) nilikuwa Grand Central Station Gotham, kuna duka la vitabu. Nilikuwa napenda kununua biographies,histories, science books etc zangu pale.

Siku hiyo nikawa naangalia self-help books, kujua tu titles gani ziko madukani sana. Mimi si mnunuzi sana wa vitabu hivi. Nafikiri kwa upande fulani nina ego inayoniambia naweza kujisaidia mwenyewe na sihitaji self help book, na kama nahitaji msaada, si kwa kitabu kilicho soobvious hivyo. Nimeanzakuvisoma zamani sana vya mshua, na vya zamani vilikuwa vizuri sana ukivilinganisha na vya sasa, I am talking Dale Carnegie, Mackay Harvey etc. If you read that stuff from 16, by the time you get to 30 some themes become repetitive and boring. So I skip most. In any case I find that biographies are more nuanced and have more real life examples. Even as they too become more and more like fiction.

Mara nikashtukia jamaa mmoja ananifuata ana m mic mkubwa sana, ananiambia yeye ni mtangazaji wa BBC World Service, anataka kunirekodi, kujua mawazo yangu kuhusu vitabu hivi vya "Self Help" na kama vina umuhimu.

Nikamkubalia, akaniuliza kama nanunua hivyo vitabu, nikamwambia hapana, vingi ni habari za mkumbo tu na kama vinawafaa watu, watu hao si mimi, maana vingi vina mambo yaliyo obvious sana, ukisoma magazeti tu utayaona.

Akaniambia kipindi kitarushwa hewani wikii liyofuata. Hii ilikuwa zaidi ya miaka 10 iliyopita.

Mpaka leo nakitafuta kile kipindi sijakipata.
 
Hahahaaaaa! Mkuu huo mstari wa mwisho umeniachia maswali mengi kidogo..
 
Maswali yapi tena? Mbona hujauliza?

Maswali yako yananiachia maswali na mimi.

Uliposema..Hukuwahi kuiona hicho kipindi cha bbc hata baada ya kukitafuta for 10 yrs now..

Nimejiuliza kwanini hicho kipindi ambacho wewe ulirekodiwa ukiongea maneno negatively kuhusu vitabu vya wenyewe hakikurushwa hewani..au ni kwamba wewe tu ndiyohukukiona?
 
Hakuna niliposema kipindi hakikurushwa hewani.

Hakuna niliposema kwamba nilisikiliza BBC kipindi hakikurushwa hewani.

Nilikuwa busy na kazi zangu sikufuatilia, leo hii habari imetajwa, nimekitafuta online sijakiona (BBC huweka vipindi vyao online na kwenye archives), hivyo mpaka leo nakitafuta sijakiona.

Usitake kufanya conclusion unayofikiri wewe kwa mambo ambayo hayajasemwa.

Utafanya kosa la kimantiki la "logical non sequitur".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom