Kijana unayeuza magazeti Magomeni barabara ya Morogoro kwa kuwakimbizia watu wenye magari na dalalada, badili mbinu unajiumiza

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Maisha sio magumu kihivyo ila sisi tunatafuta pesa kwa jasho bila kutumia akili. Huyu jamaa yupo morogoro road yeye asubuhi huwa anauza magazeti magomeni kuanzia mwembechai hadi mapipa yani yale magazeti anakuwa ameyashika mkononi halafu yupo barabarani kwenye foleni za magari akiwauzia watu wa magari na makonda wa dalalada.

Ninachokujaga kucheka zaidi ni pale ambapo mtu kachukua gazeti halafu mataa yakaruhusu magari jamaa huwa anakimbizia Gari kufuata pesa yake hadi huruma dah , anajichosha sana halafu mbaya zaidi dalalada hawampi pesa mda huo mpaka jioni. Pesa haiko serious kiasi hicho.
 
Nina uhakika wewe unatabia za ki snitch. .. Watu wanatafuta maisha familia iishi vzuri mjini, wew unakuja humu kuandika... Kwasabab upo kwa shemej yako unalishwa vzuri umenona unataka na mwenzako aache kazi akalelewe na mwanaume mwenzake kama wew...
 
Hv itapita siku ujaleta Uzi humu kweli Mara umepata omeokota nyumba magomeni Mara umeenda Uganda ilimradi tu ujaze save za watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukishawekwa uroto huko kwabuza naona unakuwa nakipilipili sana ila sisi hatuchagui tunaweka tu kama upo tayari njoo nipo gheto na pesa ya nauli natuma
 
Maisha sio magumu kihivyo ila sisi tunatafuta pesa kwa jasho bila kutumia akili. Huyu jamaa yupo morogoro road yeye asubuhi huwa anauza magazeti magomeni kuanzia mwembechai hadi mapipa yani yale magazeti anakuwa ameyashika mkononi halafu yupo barabarani kwenye foleni za magari akiwauzia watu wa magari na makonda wa dalalada.

Ninachokujaga kucheka zaidi ni pale ambapo mtu kachukua gazeti halafu mataa yakaruhusu magari jamaa huwa anakimbizia Gari kufuata pesa yake hadi huruma dah , anajichosha sana halafu mbaya zaidi dalalada hawampi pesa mda huo mpaka jioni. Pesa haiko serious kiasi hicho.
Wewe unajuwaa anauza gazeti tuu?unalala na mkeo/mmeo huku mkijambiana huku mkisefu amani Wala hujiulizi amani hiyo inastawishwa na Nini?
 
Maisha sio magumu kihivyo ila sisi tunatafuta pesa kwa jasho bila kutumia akili. Huyu jamaa yupo morogoro road yeye asubuhi huwa anauza magazeti magomeni kuanzia mwembechai hadi mapipa yani yale magazeti anakuwa ameyashika mkononi halafu yupo barabarani kwenye foleni za magari akiwauzia watu wa magari na makonda wa dalalada.

Ninachokujaga kucheka zaidi ni pale ambapo mtu kachukua gazeti halafu mataa yakaruhusu magari jamaa huwa anakimbizia Gari kufuata pesa yake hadi huruma dah , anajichosha sana halafu mbaya zaidi dalalada hawampi pesa mda huo mpaka jioni. Pesa haiko serious kiasi hicho.
Nimekuwa nasoma post zako nyingi sana,wewe kijana inaonekana una tatizo la afya ya akiri.
 
Back
Top Bottom