Kijana unaanzaje kuishi na familia ya mtu

1.Aliondoa FAO la kujitoa, Sasa watu wanateseka
2.Alipora Bureau De Change
3.Akawanyima wana kagera Hela ya tetemeko iliyochangwa na wazalendo
4.Akawanyima wafanyakazi haki zao walizofanya kazi kwa kisingizio cha Watumishi hewa
5.Akaongeza makato ya Loans Board.

Nani huyo tena?
 
Stori za Paukwa hizo. Hao wenyewe (wazungu) waliotuletea na kutufundisha hayo maandiko wanaachana wakishindwana tabia, sio mpaka zinaa.

Yaani mtu awe anakupasua kichwa siku zoote...hakuheshimu, dharau kedekede, manyanyaso n.k. eti uvumilie tu kuendelea kuishi nae (kisa hajazini!) hali ya kuwa haoneshi wala hana mpango wa kubadilika. Mzungu hawezi kubali upuuzi huo. Kwake (awe mwanamke au mwanaume) furaha ya maisha yake huwa ni kitu kinachopewa kipaumbele.

Si tu mwanamme wa kizungu, bali hata mwanamke wa kizungu hata muwe na watoto, akiona ndoa inamzingua (anakosa furaha toka kwa mmewe) anakupasha LIVE kuwa tuachane, kila mmoja aende na hamsini zake.
 
Wewe ni mzungu???
 
1:Heslb wanafany biashara ya kukopesha wanafunzi wa vyuo vikuu makato ya 15% ya mshahara na riba ya 6% ya deni linalobaki kila mwaka na ukishindwa kulipa mpk unastafu wanachukuwa mafao
2:Elimu ni bure lakini hakuna walimu wa kutosha mashuleni hakuna Vitabu vya kutosha maabara hazina vifaa na kwa baadhi ya shule hakuna kabisa maabara wanafanya alternative practicals
3:Ration allowance ya wanajeshi imekatwa kutoka 10,000 kwa siku hadi 3,000 hv 3000 utakula nini kwa usawa huu kwa siku hawapewi mafunzo gwanda wanajinunulia almost 250k
4:Hakuna Uhuru wa habari wala taarifa ya habari wanapindisha pindisha kuiogopa serikali
Tunaishi Kama mashetani
 
Dhu bora kukimbiwa yani nijikuta kuwana nama mahusiano na mwanamke ambae anawatoto ambao sio wako huyo ni mike wa watu kweli kabisa kwanza huwa wana visarani pia huwana shukulani jiulize kwanini alikimbiwa na walio mzalisha
Chief na wewe ulikimbiwa na wife?
 
Dhu bora kukimbiwa yani nijikuta kuwana nama mahusiano na mwanamke ambae anawatoto ambao sio wako huyo ni mike wa watu kweli kabisa kwanza huwa wana visarani pia huwana shukulani jiulize kwanini alikimbiwa na walio mzalisha
Huu ni ushuhuda ambao utasaidia vijana wengine kujiweka pemben na haya mambo ya kuchukua wake za watu
 
Utakuta ni kijana rijali shababi ana future nzuri ameweka misingi bora kwa ajili yake na familia yake lakini anakuja kukosea kwa kuoa mke wa mtu na kuishi na familia ya mwanaume mwingne

Maandiko matakatifu yanasema dhambi inayoweza kupelekea ndoa kuvunjika ni uzinzi tu na hii ni pale ambapo mke au Mme atatoka nje ya ndoa na kama mwanaume atamuacha mkewe ilihali mke hajafany zinaa basi mwanamke huyo akiolewa na Mwanaume mwingne ndoa hyo haitakuwa imepata kibali machoni pa bwana Bali itakuwa zinaa

Vijana ya nini kuchukua familia za watu tengeneza yako ya kwako peke yako achana na wanawake wenye watoto.
Naked Truth
 
Back
Top Bottom