Kijana una miaka 30 halafu unadai hujapata mtu wa kuoa? Utakuwa na tatizo sio bure

Sasa mtu una miaka 30 ndio unakimbilia kuoa wakati akaina Le mutuz na american experience yake hajawahi kufikiria kuoa
Lakini yule hajakosa,sema tu itikadi yake ya kuendelea kuzini anaiona nzuri
 
Tatizo letu tunakimbilia kutoa justification ya kila kitu mtoa mada unadhani kila ambaye hajaoa kwa umri huo ana matatizo kama uonavyo wewe? Huo ni mtazamo wako mkuu.. ushawahi jiuliza wangapi wamefiwa na wenzi/wachumba wao kwa ajali, ugonjwa na visabishi vingine hali iliyopelekea wao kutokuoa mpaka sasa.. unadhani mtu kama huyo utamlazimisha kupata mchumba mapema? Mke ni uchaguzi si suala la kukurupuka na kuja kuzaja kurasa za JamiiForum kwa kulalamika..
Jibu ni tatizo la kiakili
 
Back
Top Bottom