Kijana una miaka 30 halafu unadai hujapata mtu wa kuoa? Utakuwa na tatizo sio bure

Unawapa vijana pressure bure. Kwanza kuoa siyo lazima. Pili hata ukiwa na 35 au 40, kijana unaoa na mambo yanakuwa super bado. Wee tafuta pesa kelele zingine waachie wapiga debe.
 
Nina 33,wa kuwaoa wapo kama 5 wote wanalilia.Ila sijaamua kuoa. Labda yaweza kuwa kwa sababu bado sijawa well financially kiviile
 
Wandugu natumai wote wazima. Kama kichwa kinavyoeleza, una umri wa miaka 30 unataka kuoa/lakini hujapata mwenza, bila kupepesa utakuwa na matatizo sio bure.

Jichunguze kasoro zako sehemu hizi, ukikosa niite mchawi
Kiakili
Kiafya
Kimtazamo
Kiitikadi.

Sasa ili muamini ninachosema kuwa ni kweli,kila mtu mwenye umri huo aje na sababu kwanini alitoswa alipotaka kuoa. Kijana ukiwa smart huwezi kukosa mke kwa sababu wengi wa wanawake wanatamani sana ya kuolewa ili waheshimike. Unakosaje mke?

Karibuni
Ukioa wewe inatosha mkuu 🤣🤣🤣
 
Sio kwamba hakuna wa Kuoa, swala ni kuamua, yaani kuamua Kuoa Ndio shida.
 
Kila mtu amejipangia mstari wa kuishi kama wewe umeoa haimaniishi na wengine ni lazima waoe.kuna shughuli nyingi za kufanya duniani ambazo ukitaka kuzifanikisha ni lazima masuala ya kuoa kuolewa uyaweke pembeni
 
Mtoa mada kwanza punguza sauti, maana unakuwa kama unatufokea,
Ukioa wewe inatosha wengine tutabaki kuwa walinzi wa mkeo
 
Unawapa vijana pressure bure. Kwanza kuoa siyo lazima. Pili hata ukiwa na 35 au 40, kijana unaoa na mambo yanakuwa super bado. Wee tafuta pesa kelele zingine waachie wapiga debe.
Fikiria kama kungekuwa na sheria kuwa ukizini kabla ya kuoa unakufa. Ungekuwa na maoni kama hayo? Iyo pesa unayotafuta ni ya nini?
 
Mimi kama mimi nitakuwa tayari kukubali kwamba kuoa sio lazma kama mtakubali kukaa bila kufanya ngono mpaka muoe
 
Hatujapata wakuwaoa wanawake wengi chagua chagua wazee wa opportunity waliobaki hawatuvutii
 
Hatujapata wakuwaoa wanawake wengi chagua chagua wazee wa opportunity waliobaki hawatuvutii
Ushagundua kasoro yako mpaka sasa? Ww unasema waliobak hawakuvutii,una hakika gani kama ww una mvuto kwao? Huenda wewe sio level zao kwaio badala ya kutaka size yako unataka size kubwa.... Ndio
 
Ushagundua kasoro yako mpaka sasa? Ww unasema waliobak hawakuvutii,una hakika gani kama ww una mvuto kwao? Huenda wewe sio level zao kwaio badala ya kutaka size yako unataka size kubwa.... Ndio
Kasoro gani tena yaani ww demu kashachakazwa ndio anakumbuka shuka unamuhitaji ?huku wale ambao hawajachakaa wanakula ujana hawahitaji ndoa
 
Sasa mtu una miaka 30 ndio unakimbilia kuoa wakati akaina Le mutuz na american experience yake hajawahi kufikiria kuoa
 
Back
Top Bottom