Kijana una haki ya Kuchagua Katika awamu ya 5, uishi kawaida kama mimi au Kiunaharakati kama Ka-Flag

Nimekua nikiwahusia pamoja na kuihusia Nafsi yangu pia Maisha ya uanaharakati kwa awamu hii naona ni mwiba tunawaumiza wazazi wetu ambao kwa wakati mwingine hawahusiki na Kutuagiza hayo ambayo tumekua tukifanya kwa kivuli cha uanaharakati.

Binafsi kejeli na matusi kwa mamlaka zinazotuongoza ambazo zinatolewa miongoni mwetu zimekua zikinihuzunisha sana.

Wanapopata matatizo kinaniumiza zaidi kibinadamu tuu siwezi kushangilia binadamu mwenzangu anapokua rumande kwa muda wowote ule Msingi wa kusota rumande kwa kizazi hiki ni kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika mob saikoloji zimekua zikituangamiza vijana.

Mwisho, tuache Uanaharakati tutaishia gerezani.
Ukimya wa Rafiki zako huumiza zaidi ya Kelele za maadui Zako.(In ananias Edgar Voice)
 
Nimekua nikiwahusia pamoja na kuihusia Nafsi yangu pia Maisha ya uanaharakati kwa awamu hii naona ni mwiba tunawaumiza wazazi wetu ambao kwa wakati mwingine hawahusiki na Kutuagiza hayo ambayo tumekua tukifanya kwa kivuli cha uanaharakati.

Binafsi kejeli na matusi kwa mamlaka zinazotuongoza ambazo zinatolewa miongoni mwetu zimekua zikinihuzunisha sana.

Wanapopata matatizo kinaniumiza zaidi kibinadamu tuu siwezi kushangilia binadamu mwenzangu anapokua rumande kwa muda wowote ule Msingi wa kusota rumande kwa kizazi hiki ni kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika mob saikoloji zimekua zikituangamiza vijana.

Mwisho, tuache Uanaharakati tutaishia gerezani.
Wewe na huyo mbweha wako ni mapimbi tuu hakuna wa kumtisha hapa. Mandela alikaa gerezani zaidi ya miaka ishirini akatoka akawa Rais. Watisheni wajinga wenzenu huko huko mnao wapa kula na kunya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nikiwahusia pamoja na kuihusia Nafsi yangu pia Maisha ya uanaharakati kwa awamu hii naona ni mwiba tunawaumiza wazazi wetu ambao kwa wakati mwingine hawahusiki na Kutuagiza hayo ambayo tumekua tukifanya kwa kivuli cha uanaharakati.

Binafsi kejeli na matusi kwa mamlaka zinazotuongoza ambazo zinatolewa miongoni mwetu zimekua zikinihuzunisha sana.

Wanapopata matatizo kinaniumiza zaidi kibinadamu tuu siwezi kushangilia binadamu mwenzangu anapokua rumande kwa muda wowote ule Msingi wa kusota rumande kwa kizazi hiki ni kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika mob saikoloji zimekua zikituangamiza vijana.

Mwisho, tuache Uanaharakati tutaishia gerezani.
"wanaotenda mabaya/maovu sio wabaya.....bali wabaya ni wale wanoona maovu alafu wanakaa kimya" .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nikiwahusia pamoja na kuihusia Nafsi yangu pia Maisha ya uanaharakati kwa awamu hii naona ni mwiba tunawaumiza wazazi wetu ambao kwa wakati mwingine hawahusiki na Kutuagiza hayo ambayo tumekua tukifanya kwa kivuli cha uanaharakati.

Binafsi kejeli na matusi kwa mamlaka zinazotuongoza ambazo zinatolewa miongoni mwetu zimekua zikinihuzunisha sana.

Wanapopata matatizo kinaniumiza zaidi kibinadamu tuu siwezi kushangilia binadamu mwenzangu anapokua rumande kwa muda wowote ule Msingi wa kusota rumande kwa kizazi hiki ni kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika mob saikoloji zimekua zikituangamiza vijana.

Mwisho, tuache Uanaharakati tutaishia gerezani.
Ungejua huyo anayetuteka bila kodi zetu si lolote wa chochote usingeandika upuuzi huu
 
Nimekua nikiwahusia pamoja na kuihusia Nafsi yangu pia Maisha ya uanaharakati kwa awamu hii naona ni mwiba tunawaumiza wazazi wetu ambao kwa wakati mwingine hawahusiki na Kutuagiza hayo ambayo tumekua tukifanya kwa kivuli cha uanaharakati.

Binafsi kejeli na matusi kwa mamlaka zinazotuongoza ambazo zinatolewa miongoni mwetu zimekua zikinihuzunisha sana.

Wanapopata matatizo kinaniumiza zaidi kibinadamu tuu siwezi kushangilia binadamu mwenzangu anapokua rumande kwa muda wowote ule Msingi wa kusota rumande kwa kizazi hiki ni kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika mob saikoloji zimekua zikituangamiza vijana.

Mwisho, tuache Uanaharakati tutaishia gerezani.
Hasara kubwa sana kwa waliokuzaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu hii wanaharakati ni wahalifu kuliko wale waliotajwa kwenye list of shame awamu iliyopita
 
Nimekua nikiwahusia pamoja na kuihusia Nafsi yangu pia Maisha ya uanaharakati kwa awamu hii naona ni mwiba tunawaumiza wazazi wetu ambao kwa wakati mwingine hawahusiki na Kutuagiza hayo ambayo tumekua tukifanya kwa kivuli cha uanaharakati.

Binafsi kejeli na matusi kwa mamlaka zinazotuongoza ambazo zinatolewa miongoni mwetu zimekua zikinihuzunisha sana.

Wanapopata matatizo kinaniumiza zaidi kibinadamu tuu siwezi kushangilia binadamu mwenzangu anapokua rumande kwa muda wowote ule Msingi wa kusota rumande kwa kizazi hiki ni kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika mob saikoloji zimekua zikituangamiza vijana.

Mwisho, tuache Uanaharakati tutaishia gerezani.
Unadhani unaweza kumtisha mtu humu jf ?
 
Duniani hakuna mbabe wa kudumu "Gen.Quasemi Soleimani" chalii
 
Ukishakuwa kiongozi hasa wa kisiasa,wewe unakuwa kama jalala tu. Utapokea sifa,matusi,mipasho,kejeli n.k

Unadhani kwanini akina Kabudi wanaitwa wapumbavu na umri ule lakini wapo kimya. Huo ndiyo uongozi.

Na wewe mtoa mada ni pumbavu tu ( in magu voice).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom