MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Lowasa kasema elimu itakua bure kuanzia nursery mpaka chuo,
Wadogo zangu
1.hamna kitu kigumu kama kusoma halafu una njaa
2.hamna kitu kigumu kama kusoma huku unaenda loan board kufuatilia mkopo
3.hamna kitu kigumu kama mtihani umefika halafu hauna valid ID
4.hamna kitu kigumu kama una mtihani saa 1 halafu huna nauli ya kutoka mabibo kwenda campus
Matatizo hayo na mengine ukichanganya lazima udisco hata kama ulikua wa kupata 4.8,Lowassa kasema elimu,elimu,elimu na itakua bure
Ebu jitahidi kufanya maamuzi sahihi ili uepukane na kero zisizo za msingi