Kijana, piga kura 2015, leta mapinduzi tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana, piga kura 2015, leta mapinduzi tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mzungukichaa, Jan 27, 2011.

 1. m

  mzungukichaa Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Tunajua hali halisi ya yaliyotokea Tanzania kwenye uchaguzi wa 2010 . Lakini naamini vijana wengi pia hawakuwa wamejiandikisha kupiga kura 2010 hivyo kukosa fursa ya kumchagua kiongozi waliyempenda na aliyeshinda(Japo walichakachua). Tuchukue hatua sasa kudai fursa ya kujiandikisha kupiga kura mapema ili 2015 tushinde kwa kishindo. Maana wamezoea hawa kufanya mambo wakati wa mwisho mwisho au wakati usio muafaka ili watu wengi washindwe kujiandikisha.
   
Loading...