Kijana niliye na ujuzi naomba kazi, nina shahada ya elimu na psychology

Sanyambila

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
339
457
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo kikuu 2015, nina shahada ya elimu na saikolojia yaani(bachelor of education psychology ). Nili major saikolojia na nika minor geography though A level nilisoma CBG.

Waungwana eeee naomba ajira ya kazi zifuatazo social worker, kufundisha biology na geograpy, ushauri nasaha/nasihi, au zinazofanana na hizo.

Kwa sasa nipo tu sina ajira my contact njooo inbox
By snyambila
 
KUJIAJILI KUNAHITAJI MTAJI, EXPOSURE NA POINT YA KUANZIAA MFANO SINA SHULE ,SINA NGO'S WALA HOSPITAL.[HASHTAG]#NDUGU[/HASHTAG] AMADOLI
 
Mkuu 'jitembeze' mwenyewe,nenda kwenye mashule,vyuo uwaambie utatua vipi changamoto zao katika uwasilishaji wa huduma ya elimu,katika eneo la saikolojia ,hautakosa kasi mkuu,
AHSANTE SANA KWA USHAURI WAKO MZURI,,,,,,,,,,,,,,
 
Mkuu 'jitembeze' mwenyewe,nenda kwenye mashule,vyuo uwaambie utatua vipi changamoto zao katika uwasilishaji wa huduma ya elimu,katika eneo la saikolojia ,hautakosa kazi mkuu,
NIMEJARIBU SEHEMU HIZO BADO INAKUWA NGUMU JIBU NI MOJA;"ACHA VYETI VYAKO TUTAKUPIGIA"
 
We dogo acha kulialia, ujue umaskini huanzia akilini, elimu yao ndo mtaji wako namba mosi. Ajira sio lazima kwamba ukizoma lazima tu uajiriwe. Uza hata juice, brash hata viatu, yaan fanya chochote ili mradi mwisho wa siku uweze kutunza hata elf5 kila siku.

Binafsi nimekaa kazini miaka 8 sasa sijaona cha maana nlichofanya zaidi ya kujenga na kununua gari ambalo sasa naliona chungu sababu ya matumizi makubwa.natamani kuacha kazi nijiajiri.

Hivyo usidhani kazi ndo kila kitu, ni ujinga wa kiwango cha PHD kuajiriwa maana unakuwa kama samaki bwawani yaaan mfugaji asipokuletea chakula unakufa.
 
We dogo acha kulialia, ujue umaskini huanzia akilini, elimu yao ndo mtaji wako namba mosi. Ajira sio lazima kwamba ukizoma lazima tu uajiriwe. Uza hata juice, brash hata viatu, yaan fanya chochote ili mradi mwisho wa siku uweze kutunza hata elf5 kila siku. Binafsi nimekaa kazini miaka 8 sasa sijaona cha maana nlichofanya zaidi ya kujenga na kununua gari ambalo sasa naliona chungu sababu ya matumizi makubwa.natamani kuacha kazi nijiajiri. Hivyo usidhani kazi ndo kila kitu, ni ujinga wa kiwango cha PHD kuajiriwa maana unakuwa kama samaki bwawani yaaan mfugaji asipokuletea chakula unakufa.
Huu ni unafki wa hali ya juu umeajiliwa halafu unamkejeli mtafuta ajira
 
Kisandu na Nabii tito waweza kuwa na matatizo ya hiyo psychologia yako nakupa kama interview, wakipona kazi umepata
 
We dogo acha kulialia, ujue umaskini huanzia akilini, elimu yao ndo mtaji wako namba mosi. Ajira sio lazima kwamba ukizoma lazima tu uajiriwe. Uza hata juice, brash hata viatu, yaan fanya chochote ili mradi mwisho wa siku uweze kutunza hata elf5 kila siku. Binafsi nimekaa kazini miaka 8 sasa sijaona cha maana nlichofanya zaidi ya kujenga na kununua gari ambalo sasa naliona chungu sababu ya matumizi makubwa.natamani kuacha kazi nijiajiri. Hivyo usidhani kazi ndo kila kitu, ni ujinga wa kiwango cha PHD kuajiriwa maana unakuwa kama samaki bwawani yaaan mfugaji asipokuletea chakula unakufa.
wazo zuri sana tunaomba umpatie msingi wa hata laki tatu aanze kuuza izo juice unazosema
 
No braza yko xahh kbx ni bora ujiajir mwenyew braza xem ndyo kama hvo lazma uwe na mtaji ndpo ujiajir mwnyew
 
MIMI NI KIJANA WA UMRI WA MIAKA 27 NIMEMALIZA CHUO KIKUU 2015,NNA SHAHADA YA ELIMU NA SAIKOLOJIA YAANI(BACHELOR OF EDUCATION PSYCHOLOGY )NILI MAJOR SAIKOLOJIA NA NIKA MINOR GEOGRAPHY THOUGH A LEVEL NILISOMA CBG WAUNGWANA EEEE NAOMBA AJIRA YA KAZI ZIFUATAZO SOCIAL WORKER,KUFUNDISHA BIOLOGY NA GEOGRAPY USHAURI NA SAHA/NASIHI,AU ZINAZO FANANA NA HIZO....KWA SASA NIPO TU SINA AJIRA MY CONTACT NJOOO IN BOX
BY SNYAMBILA

Ninachojua tu ni kwamba si kila Msomi wa masuala ya Saikolojia anajua vizuri Saikolojia na kufanya ' Counseling ' na kama ingekuwa ni kweli Wanasaikolojia wa nchi hii wana uwezo huo basi haya ' madhila ' makubwa tunayoyaona na yanayoendelea kuibuka kila uchao katika Jamii zetu yasingekuwepo. Nadhani itapendeza zaidi kama ukiwa na Elimu ya Saikolojia lakini pia uwe na ushawishi mzuri na ubunifu kitu ambacho Wasomi wengi wa Saikolojia hawana. Na kama kweli Elimu yako hiyo ya Saikolojia ungekuwa umeijua vizuri leo hii usingehagaika kuja humu kutaka Kazi wakati Mimi ninavyojua tu ni kwamba hata hapo hapo ulipo tu sasa unaweza ukaweka Kiti nje ya Nyumba yako na ukawa unasaidia Watu wako wa Mtaa katika matatizo yao mbalimbali tena bure tu au kwa kiasi kidogo sana cha Pesa kisha Kazi yako hiyo Kwao ikionekana ni nzuri hao hao Watu wataanza Kukupaisha kwa Watu wengine hatimaye jina lako Kukua na kuanza kuwa na Network ambayo inaweza sasa kukusaidia kupata Ajira / Kazi sehemu za Ndoto zako na ukatoka Kimaisha. Sikulaumu Wewe ila hapa nailaumu sana Elimu ya Tanzania na Mfumo wako wa ' hovyo hovyo / mbovu '.
 
Kwa wenzetu waliosomea psychology wamejiajiri na ofisi zao ziko nyumbani tu. Jikaze watu wana stress wanazishusha humu, weka tangazo watakuja tu.
 
Back
Top Bottom