Kijana Nauye aigiza mavazi ya CHADEMA?

jambotemuv

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
224
62
Ukimuona Pichani haya ni magwanda kama wavaao CDM ila tu rangi kijani. Mara nyingi Nnauye na viongozi wengi wa CCM tumewazoea kwenye mashati ya Kitenge na mara nyingi mtindo wa Mandela. Yaelekea magwanda ya CDM yameleta mvuto zaidi mpaka Magamba sasa waiga.
 

Attachments

  • Nauye Mgwanda Kijani.jpg
    Nauye Mgwanda Kijani.jpg
    11.9 KB · Views: 57
Back
Top Bottom