Kijana mzaliwa wa kenya aolewa kishoga South Africa

Hehehe!! Huu uzi mumeni-tag hadi basi, sijajua mnategemea nizuie hiyo ndoa au nifanye nini, huyo kaamua hivyo hivyo huko Kusini kwa Msouth hamna jinsi, wafumuane marinda maisha ni yao kwa raha zao pumbavu zao hehehehe, hivyo Watanzania acheni wivu.
Wanakuonea wivu kaka yako kaolewa na dume
 
Wanakuonea wivu kaka yako kaolewa na dume

Hehehe!! Sasa sijui mbona inawauma hivi, fursa za ushoga zipo huko South, kwanza kwa Watanzania mnakwenda bila visa, hawafai kumuonea wivu huyo Mkenya, waanze kujitangaza tu hayo mabwabwa ya South yatawaita na wao pia wakafumuane huko huko, si ndio SADC yenu huko.
 
Hehehe!! Huu uzi mumeni-tag hadi basi, sijajua mnategemea nizuie hiyo ndoa au nifanye nini, huyo kaamua hivyo hivyo huko Kusini kwa Msouth hamna jinsi, wafumuane marinda maisha ni yao kwa raha zao pumbavu zao hehehehe, hivyo Watanzania acheni wivu.
@MK254 Mombasa Raha etii....
 
Cc: MK254 Ccc: Pingli-nywee Vulcan Mwaswast, do you have any comments on this matter?Is it true or fabricated story for bad intentions?
Nimeona hizi tag nikadhani labda kuna Bombadia lingine limetua twende zetu tukateguke viuno. Kumbe ni huu uchafu na upumbavu? Alaaniwe sana huyo jamaa. Ila nyie wabongo pia mkome, hii tabia yenu ya kufukia vichwa mchangani na kujitia hamnazo haituhadai kama mnavodhania. Naskia huko Magufulistan kuna mashoga wana mashabik kibao na mafollower wengi IG zaidi hata ya IGP.
 
Hehehe!! Huu uzi mumeni-tag hadi basi, sijajua mnategemea nizuie hiyo ndoa au nifanye nini, huyo kaamua hivyo hivyo huko Kusini kwa Msouth hamna jinsi, wafumuane marinda maisha ni yao kwa raha zao pumbavu zao hehehehe, hivyo Watanzania acheni wivu.
Hahahaaa!! Kwa hii post ni hakika jirani leo tumekushika pabaya.

Nimecheka eti "ni yao kwa raha zao pumbavu zao"

Haya bana ila muwaambie hicho sio kinachowapeleka huko. 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom