Kijana mzaliwa wa kenya aolewa kishoga South Africa

Nimeona hizi tag nikadhani labda kuna Bombadia lingine limetua twende zetu tukateguke viuno. Kumbe ni huu uchafu na upumbavu? Alaaniwe sana huyo jamaa. Ila nyie wabongo pia mkome, hii tabia yenu ya kufukia vichwa mchangani na kujitia hamnazo haituhadai kama mnavodhania. Naskia huko Magufulistan kuna mashoga wana mashabik kibao na mafollower wengi IG zaidi hata ya IGP.
Hahaha huyo jamaa kawadhalilisha Nyang'au
 
Hehehe!! Sasa sijui mbona inawauma hivi, fursa za ushoga zipo huko South, kwanza kwa Watanzania mnakwenda bila visa, hawafai kumuonea wivu huyo Mkenya, waanze kujitangaza tu hayo mabwabwa ya South yatawaita na wao pia wakafumuane huko huko, si ndio SADC yenu huko.
Mimi nilikuwa nashangaa kwanini wakenya wanalilia sana SA kumbe wanatafuta kuolewa kishoga huko
 
Haaa wewe umjui huyo mkenya mpumbavuu MK254 historia yake Kwa kifupi hatokuja kumsahau magufuli huyo mk254 alitelekeza familia yake Kenya Kwa zaidi ya miaka10 na kujificha Tanzania kula bata na mademu wa bongo sasa magu alipo shika nchi mambo yakawa tifauti kakimbilia kwao Kenya Kwa uchungu mkubwa hivyo ana hasira na tz balaa
Napitaga Swahiba na mwanzo wa kumfuatilia ni hizi ligi za Ujirani.

Maana huwa anajitahidi sana kula sahani moja na wa Tz.
 
Haaa wewe umjui huyo mkenya mpumbavuu MK254 historia yake Kwa kifupi hatokuja kumsahau magufuli huyo mk254 alitelekeza familia yake Kenya Kwa zaidi ya miaka10 na kujificha Tanzania kula bata na mademu wa bongo sasa magu alipo shika nchi mambo yakawa tifauti kakimbilia kwao Kenya Kwa uchungu mkubwa hivyo ana hasira na tz balaa
Duuh!! 🤔🤔🤔🤔
 
Midanganyika mnayapenda Sana matukio Kama haya.
Wadaku na wambea wenye tabia duni za kiarabu.

Mipumbavu tu,hilo liinchi lina raia asilimia 99 wapumbavu.
LDC.
Wewe ni shoga nini, mbona umecatch mafeelings hivyo, itakuwa wanakutindua marinda huko kenya.
 
eti long time fiancée...dunia inaenda kasi sana
Dunia imeshavaa chupi kipenzi changu Khantwe
tapatalk_1562747147203.jpeg
 
Kwa iyo uyo mkenya kijana mwenzetu atakuwa anasafishwa mtalo.awa jamaa mabeberu wamewaharibu sana.
 
Back
Top Bottom