Wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki 1 ili kijana mwenzenu nipendeze siku ya harusi ya dada yangu?

Hongera kwa dada yako kuolewa, vilevile msalimie sana. All tha best bro. Kuhusu suti sina uzoefu, mara ya mwisho mzee alininunulia ya 70k kwa ajili ya form 4 graduation......

Probably andaa above 250k
aisee mi hela mingi sana je siwez kupata za mtumba au koti tu ntavaa na jeans
 
Laki moja tafuta mchina mbovu au mtumba, tafuta kitu Turkish kijana upendeze angalau 300,000 ukichemka sana 250,000 hapo waweza tokelezea
 
Habari zenu wazee baba

Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti.

Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani hivi cha kisasa ukumbi mzima washangaee na niweze kung'oa mademu kupitiia hiyo suti nitakayovaa.

Msaada ninaohitaji kutoka kwenu ni wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki moja kuanzia juu hadi chini? Tupia picha ya suti kali kama unayo niweze kuangalia fashion..

NB: Mimi sijawahi kuvaa suti tangu nizaliwe ndo nataka nivae hyo tarehe 30
Dada uyooo anaolewa dada uyooo anaolewa, mahali ishatolewaaa...
 
Back
Top Bottom