Kijana mwenzangu, kuliko kununua odds bora uache kubet

Hv watu huwa nnatumia nini kufikiria na kuwaza?,huwa mnatumia vichwa kama tunavyotumia wengine?au wenzetu mnavichwa vyenu mnavyotumia?

Inakuwaje mtu anakwambia akupatie ods za ushindi wakati wewe mwenyewe ukiangalia unaona kabisa?

Kwa mfano

Bayern anacheza na Totenham na unajua kabisa Bayern yuko on ,hv hapo inaitajika akili ya mtu mwingine akuambie Bayern atashinda?
 
Wakuu lile jukwaa pendwa limepigwa ban sasa mnakutana wapi mwenzenu npo kama mtoto mkiwa mnakutana WAP mniunganishe wakuuu
 
Mimi nipo Telegram hiyo michezo naiyona sana nawachora tu 🧐 kuna mwingine anaanza kwa kuficha anaweka ma rangi rangi mekundu harafu yeye zake ni correct score au draw kavu kavu xx 😲 harafu kesho au mida anatupia eti zimetiki 😂 unabaki unacheka mi nasuburi huwa anatoa za bure ndo hizo hizo unakuta ndo nafata eti nikupe hela si ni bora sitaki kazi🤦🤪🏃
 
Wanatengenezaje
nataman kujua aisee.. maana kuna jamaa anaonesha screensgot anashinda kila siku milion 10 kwenda juu daily.. ila sasa anauza hizo odds 75,000 mpaka najiuliza huyu anakula mamilion daily hz 75k anazitaka za nn..
 
Back
Top Bottom