Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

Uongo kivipi mkuu? Ujana wako ulikuwa mwoga ?
Kwa maelezo yako, kweli unaweza ukalala na yoyote na baada ya hapo ubadilishe na wote wawe wanakupikia na kukufulia?
Unawagonganisha makusudi wanawake? Akimkuta mwenzake kwako ndio asepe, ulete mwingine? Na mchezo uwe hivyo hivyo? Sijui lakini kwa mimi naona si rahisi mkuu, labda mimi muoga!

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi kikubwa ni kuhakikisha hugonganishi magari
Nakibaliana na wewe kuwa hao ni binadamu pia na wanahisia otherwise watakufanyia kitu mbaya
Kwa weledi mkubwa sana unaweza fanya na wakakufanyia hizo kazi
 
Mtu huna imani nae unaishi nae ya nini au kumpa nguo zako akufulie za nini..

Kama mtu sina imani nae, sina haja ya kuendelea nae..
Unakula tu mbususu.kuna mmaoja nilikuwa nikienda kwake ni afande nakuambia nabeba matunda namwambia mie usiku ni mtu wa matunda tu. Nilimpenda alinipenda sema kabila lake tu ukioa afu ukiwa Mambo Safi kwenu waliokulea huwakumbuki na ndugu hakuna anayekutembelea.
Mie ndugu na mke ndugu zangu nawapenda Sana.
Mana najua wakati ule mgumu mama atakuwa pembeni yangu na bro wangu.yaani sie tunapendana siko tayari kuona mtt wa ndugu yangu asisome kisa tu Hana uwezo namie ninazo mfukoni
 
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana inawezekana mdada hujampenda ila akakupa chakula alichokiandaa ukala imekula kwako kabisa.

Utaanza kudate nae bila kujua kakutilia makolokocho then atakuendesha sana kwenye mapenzi.

Mwenzenu kuna kitu nimejifunza wanawake wengi ni washirikina sana wakikutaka hawakukosi na usipokua makini utakoma.
Asii ni kweli. Hasa wa Tandika Dar. Ni hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee!! upo Baby za masiku???
habari za Arusha kwanza!! nimekukumbuka sana Baby!!! yaani mie ukinifanyia nakula tu sweety usijali !! achana na mambo ya watu!! kwanza mpaka nimekupa neno langu si nimekupenda Baby ati??

Embu fikiria mwenyewe nitatongozaje mdada nisiye mpenda kwanza, eti hana mvuto kwangu Mwee? tuanzie hapo??? mpaka nimezungumza nae ina maana niko tayari kumlinda asichakazwe na wapita njia!!! pia

kuna kitu kimenivuta kwake mda mrefu so ke huyu ukipata mimba ni sawa!! ukifa ntazika! ukiugua ntauguza, ukilia ntalia, ukitaka ntakupa, ukila nimekula ukitembea naimba....hata akiniacha nitaendelea kumpenda tu!! potelea kwa mbali moyo uridhike !!

sasa km me hana haya yooote!! alimtongoza wa nini?? nini alicho kitamani kwa binti??? hivi kuna wanaume wanakula tu bila kupenda hivi kweli!!! huyu me ni kweli anatafuta kurogwa mwenyewe!! warogeni tu wakome.....

kama ana shida ya kupata kidude cha kuchezea si aende kwa ma CD tu, wahaya palee Temeke kwa Masangati wapo kweupeee akafanye tani yake kama anataka zile za ghafla!!

Akamwage oil kila siku kwa mtoto wa Mtu anamchakaza bure Kisa?? mnastahili kurogwa .....nani akaoe vilivyo chafuliwa na jitu lenye ugwadu?? hivi hawa wadada wazuri!!! wazuri mnawaonaje kwanza? kuwapanuapanua bila staha?? hujui atazaa Rais wako huyo???

Muwanyimeni watu wa hivi wakabake mbuzi waponee segerea!!
Mkuu hapo chini umemaliza kwa hasira
 
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana inawezekana mdada hujampenda ila akakupa chakula alichokiandaa ukala imekula kwako kabisa.

Utaanza kudate nae bila kujua kakutilia makolokocho then atakuendesha sana kwenye mapenzi.

Mwenzenu kuna kitu nimejifunza wanawake wengi ni washirikina sana wakikutaka hawakukosi na usipokua makini utakoma.
Wanaume bwana, tunaweza tusimpe mwanamke simu na ATM, Ila dushe tunampa anyonye.
 
akinyonya simu,ATM ataondoka nayo kwenye kipochi, na atajenga nyumba! dushe atakuachia hapo hata anyonyeje labda aje na kisu lkn pia akilikata litamuozea siku tatu tu!! sasa jiulize simu itaoza lini?? yaani umpe kitu kisichooza akurudishie mwee!!

hata dushe lingekuwa haliozi akawa na uwezo wa kulitumia km simu angekuliza tu!
 
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana inawezekana mdada hujampenda ila akakupa chakula alichokiandaa ukala imekula kwako kabisa.

Utaanza kudate nae bila kujua kakutilia makolokocho then atakuendesha sana kwenye mapenzi.

Mwenzenu kuna kitu nimejifunza wanawake wengi ni washirikina sana wakikutaka hawakukosi na usipokua makini utakoma.

Shida sio kufuliwa nguo na mwanamke au kupikiwa peke yake.

Ipo shida nyingine kubwa zaidi kwenye kukutana kimwili na wanawake tofautitofauti ni sababu tuu huioni kwa macho yako. Unajisi ulio kwenye lile tendo heri hata ule wa kwenye chakula🙂🙂

Amesema Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w., Man la Yahdharul Faqih, J. 4, Uk. 14:
“… yeyote yule amkumbatiaye mwanamke, ambaye ameharamishiwa kwake, basi atafungwa kwa minyororo ya mioto pamoja na Shaytani na wote kwa pamoja watatupwa katika Jahannam.”

Biblia kwenye kitabu cha Mithali 6:32 inatukumbusha kwamba
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."

Mungu atusaidie kuikataa maana hii sio mchezo
 
Broo ni bachelor hajaoa ana nyumba nzuri anaishi na mfanyakazi wa ndani yule mfanyakazi wa ndani kitu asicho jua ni kwamba broo ana camera mule ndani

Na broo ni mtu na heshima zake hajawahi mtongoza huyo demu lakin kwenye kupitia footage za events zilizopita kwenye camera alishuhudia uchafu anaolishwq na uchawi unaofanywa

Alivyobanwa demu anasema alitaka amfanyie hivyo ili amuoe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Shida sio kufuliwa nguo na mwanamke au kupikiwa peke yake.

Ipo shida nyingine kubwa zaidi kwenye kukutana kimwili na wanawake tofautitofauti ni sababu tuu huioni kwa macho yako. Unajisi ulio kwenye lile tendo heri hata ule wa kwenye chakula

Amesema Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w., Man la Yahdharul Faqih, J. 4, Uk. 14:
“… yeyote yule amkumbatiaye mwanamke, ambaye ameharamishiwa kwake, basi atafungwa kwa minyororo ya mioto pamoja na Shaytani na wote kwa pamoja watatupwa katika Jahannam.”

Biblia kwenye kitabu cha Mithali 6:32 inatukumbusha kwamba
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."

Mungu atusaidie kuikataa maana hii sio mchezo
Hio amri ngumu aisee ktk zote kumi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hio amri ngumu aisee ktk zote kumi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Hahahahaa ngumu sana lakini tupambane tuu kuishika hamna namna maana wengi wetu tulio na imani kwenye dini tunazoonyesha kuzipenda na kuziheshimu hiyo ni dhambi ya kumfukuza Mungu na malaika asisogee kwetu kabisa

Kwenye waraka wa kwanza wa wakorinto (1WAKORINTO 6:18) tunaambiwa
"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu."
 
Broo ni bachelor hajaoa ana nyumba nzuri anaishi na mfanyakazi wa ndani yule mfanyakazi wa ndani kitu asicho jua ni kwamba broo ana camera mule ndani

Na broo ni mtu na heshima zake hajawahi mtongoza huyo demu lakin kwenye kupitia footage za events zilizopita kwenye camera alishuhudia uchafu anaolishwq na uchawi unaofanywa

Alivyobanwa demu anasema alitaka amfanyie hivyo ili amuoe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
... bachelor anaishi na housegirl....mshaurini aoe tu.
 
akinyonya simu,ATM ataondoka nayo kwenye kipochi, na atajenga nyumba! dushe atakuachia hapo hata anyonyeje labda aje na kisu lkn pia akilikata litamuozea siku tatu tu!! sasa jiulize simu itaoza lini?? yaani umpe kitu kisichooza akurudishie mwee!!

hata dushe lingekuwa haliozi akawa na uwezo wa kulitumia km simu angekuliza tu!
Sasa akilinyofoa Kwa Meno utabaki kuwa mwanaume?
 
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana inawezekana mdada hujampenda ila akakupa chakula alichokiandaa ukala imekula kwako kabisa.

Utaanza kudate nae bila kujua kakutilia makolokocho then atakuendesha sana kwenye mapenzi.

Mwenzenu kuna kitu nimejifunza wanawake wengi ni washirikina sana wakikutaka hawakukosi na usipokua makini utakoma.
Limemkuta https://www.jamiiforums.com/members/masopakyindi.47580/
 
Back
Top Bottom