Kijana mpambanaji anahitajika

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,810
39,018
Anaitajika kijana mchapa kazi/mpambanaji mwenye uzoefu wa biashara ndogo ndogo mfano:- kukaanga kuku,samaki,dagaa n.k pamoja na kutafuta walaji.
  • Kazi itafanyikia Dar na atajiongoza mwenyewe
  • Atakabiziwa nyumba na atakuwa anaishi mwenyewe kwa muda wa miezi 12 cha muhimu ni uaminifu na juhudi katika mauzo.
  • Kazi haina msongo wa mawazo ni wewe kujituma tu kwenye manunuzi na mauzo
  • Kuhusu mshahara tunaweza kujadili
  • Kama unaujuzi wa ufundi ufundi itakuwa ni vizuri zaidi kwa fursa zingine baadaye
 
Mimi ni mchapakazi ila sina uzoefu wa kukaanga samaki samaki
 
Na sisi wamikoani vipi tunaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee sio mbaya ukiongeza na mwingine wakawa wawili itapendeza sana japo anakuwa chini ya mwingine ,kingine mwenye mtaji usije ukatumia hiyo ofisi yako kumuumiza mwajiri wako kisa wana sijui mademu michepuko ni ushauri wangu
 
Anaitajika kijana mchapa kazi/mpambanaji mwenye uzoefu wa biashara ndogo ndogo mfano:- kukaanga kuku,samaki,dagaa n.k pamoja na kutafuta walaji.
  • Kazi itafanyikia Dar na atajiongoza mwenyewe
  • Atakabiziwa nyumba na atakuwa anaishi mwenyewe kwa muda wa miezi 12 cha muhimu ni uaminifu na juhudi katika mauzo.
  • Kazi haina msongo wa mawazo ni wewe kujituma tu kwenye manunuzi na mauzo
  • Kuhusu mshahara tunaweza kujadili
  • Kama unaujuzi wa ufundi ufundi itakuwa ni vizuri zaidi kwa fursa zingine baadaye
Bro mi npo hapaa asee
 
Na sisi wamikoani vipi tunaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee sio mbaya ukiongeza na mwingine wakawa wawili itapendeza sana japo anakuwa chini ya mwingine ,kingine mwenye mtaji usije ukatumia hiyo ofisi yako kumuumiza mwajiri wako kisa wana sijui mademu michepuko ni ushauri wangu
Wazo zuri mkuu...inahitaji uaminifu sana kwa asilimia kubwa atakuwa anajisimamia mwenyewe;ndio maana anatakiwa mpambanaji wa kweli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom