Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,270
- 40,079
Anaitajika kijana mchapa kazi/mpambanaji mwenye uzoefu wa biashara ndogo ndogo mfano:- kukaanga kuku,samaki,dagaa n.k pamoja na kutafuta walaji.
- Kazi itafanyikia Dar na atajiongoza mwenyewe
- Atakabiziwa nyumba na atakuwa anaishi mwenyewe kwa muda wa miezi 12 cha muhimu ni uaminifu na juhudi katika mauzo.
- Kazi haina msongo wa mawazo ni wewe kujituma tu kwenye manunuzi na mauzo
- Kuhusu mshahara tunaweza kujadili
- Kama unaujuzi wa ufundi ufundi itakuwa ni vizuri zaidi kwa fursa zingine baadaye