Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

Anaenda kunyea debe na mke ataliwa mbususu mpaka na kale kamtandao kanakopendwa maeneo ya Pwani
Huyo atanyongwa! Kesi itachukua sio chini ya miaka 10 kutolewa hukumu na kwa kuwa ameua kwa makusudi mazima adhabu iko wazi; kunyongwa hadi kufa. Ndio hivyo tena maisha yake naye ndio hivyo.
 
Na mimi nae kuna mmoja alikuwa a asumbua sana. Mimi nikawa namkatalia sasa kuna siku kanitumia sms hiyo hatari sijui hakufuta kwenye simu yake asubihi yake jamaa ananipigia anaseme wewe ndio unamtumia sms mke wangu akitaja yale maneno aliyoandika mke wake nikamjibu wewe na mke wako msinichanganye. Nikaseme emu muulize huyo mke wako ila nashukuru toka hapo hajawahi kunisumbua mpaka leo
Wanawake hawanaga akili bro awachelewi kukuchoma
 
Kwamba uko tayari kushuhudia mke wako akitombwa kwenye kitanda chako. Anageuzwa chuma mboga, popo kanyea mbingu, itege inase!!!
Nimekutana nae tukiwa watu wazima.

Busara ni kuachana nae na kuendelea na furaha yangu sehemu ingine.

Leo yupo na rashidi unapigana, kesho yupo na juma utapigana, kesho kutwa utamkuta na hassan utapigana tena?

Kwamba maisha yako wewe ni kupigana na wanaume wenzako kisa unafuga malaya ndani?
 
Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu.

Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo, Riziki Shirima (22) alidaka simu ya mkewe na kukuta meseji za mapenzi.

Baada ya kukuta meseji hizo, mwanaume huyo aliweka mtego kwa kuendelea kumtumia meseji kijana huyo aliyeuawa, akijifanya yeye ndio mwanamke huku akimtaka kuja nyumbani jambo ambalo alifanya hivyo.

Baada ya kijana huyo kufika nyumbani alianza kushambuliwa kwa kukatwa mapanga na baadaye kufariki dunia.

Kamanda wa Polisi Mkoani wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio ambapo amesema tukio lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 4 na kusema baada ya mwanaume huyo kufanya mauaji alijisalimisha mwenyewe polisi.

"Ni kweli hili tukio limetokea katika kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo ambapo mwanaume alimfumania mkewe nyumbani kwake akiwa na huyu kijana aliyeuawa wakitaka kufanya mapenzi," amesema Kamanda Maigwa

Kamanda Maigwa amesema jeshi la polisi linaendelea kumshikilia muuaji baada ya kujisalimisha mwenyewe polisi.

Chanzo cha Habari ni Mwananchi online
Sawasawa, marehemu ni mshenzi
 
Na huyo mkewe alimwacha uraiani tunakula kiulani kama tunateleza.
Khanithi mkubwa unaua mtu kisa mbususu tena uliikuta imeshabikiriwa kitambo.
 
Huyo dogo muuaji ni jinga Sana Kwa umri huo alikua Bado Sana kupata mke size yake kiufupi kaua Mtu kisa Malaya mmoja daaa namsikitikia maana anaenda kufia jela huko
Na Bado hiyo mbususu iliyosababisha afanye hivyo inaendelea kuchakatwa kiuraini
Maumivu eeee!🎢🎡
Maumivu babaa
Maumivu ya Moyo🎢
Nimeua Mtu eee
Kisa msichana,,🎡🎢
Huyo msichana eee,
Hayupo peke yake
Duniani,
Makosa,makosa,makosa,
Nifanya mistake inayogharimu maisha yangu Mimi Kijana🎢🎢🎡
(In Late Remmy Ongala voices)
 
Kafa bado mdogo sana wengine kaka zake tunaogopa mapenzi anyway hao wote watoto
Mmoja tusalimir kuzimu huyu kijana wa ovyo akanyee ndoo kwanza
kweli aisee inasikitisha mkuu,
Anyway mkuu hiyo avatar Yako Kila siku nikajua hizo ni revolver mbili Moja ya gold nyingine nyeusi Leo Ndio kuzoom nikaona uhalisia hahahahaha nimecheka Sana!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kweli aisee inasikitisha mkuu,
Anyway mkuu hiyo avatar Yako Kila siku nikajua hizo ni revolver mbili Moja ya gold nyingine nyeusi Leo Ndio kuzoom nikaona uhalisia hahahahaha nimecheka Sana!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Wachaga gani wa ovyo ivyo wametia aibu yaani hapo kijijini naona mjini huo umri sisi kaka zake hatuna wake wao wanaparangana kwa Mpanga kisa mke
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Wachaga gani wa ovyo ivyo wametia aibu yaani hapo kijijini naona mjini huo umri sisi kaka zake hatuna wake wao wanaparangana kwa Mpanga kisa mke
hahahahaha Aisee inasikitisha mbususu yenyewe usikute hakukuta hata sio bikra na utashangaa jamaa aliyeuwawa Ndio alitangulia kuichakata na hapo alikua anapasha kiporo tu sema Ndio bahati mbaya Haina mwenyewe kaisha!
 
So sad nakumbuka mwaka juzi kuna mke wa mtu aliwahi kunielewa akawa anafosi sana mapenzi namimi mi nikawa nampotezea baadae akaanza kuniletea dharau nikaona huu ujinga nikachukua namba tukaanza kuchat aisee tulikuja kuwa close sana bac kuna siku tumechat dem akajisahau kufuta text akasinzia jamaa yake akazikuta kesho yake tukaendelea kuchat kama kawaida kumbe nachat na mwamba dem kanyang'anywa cm kitambo aisee mwamba aliniset nikajaa. Baadae akaniambia nimpigie, ile kupiga naskia sauti ya kiume aisee nilipagawa sema mshkaj alikuwa mtu poa tu tukayamaliza kiume angekuwa anaroho kama ya huyu mwamba saiz kitambo tu ningesha rest in hell. Baada ya siku mbili nakutana na yule dem akaanza kujiliza et baby nilijua washakuuwa nikamwambia achana namimi. Toka siku hiyo wake za watu nakaa nao mbali sana. Maana wanawake wenyewe akili awana anytime wanakuchoma
Ulimalizana vipi na mtu mwenye hasira? Ulimpa "goti" yako, sivyo?
 
Back
Top Bottom