wengi tu hapa ofisini kutwa kulalamika na kupiga mizinga kudai maisha magumu kisa kanunua kiwanja/anajenga
Jenga usiogope. Biashara yahitaji nafasi. Cha msingi anza nyumba ya kukutosha usijali lazima iishe. Utakuwa umepiga hatua na kumalizia nyumba ni rahisi sana kwani kila mwezi unapunguza kitu kimojaKijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza
mmh mkuuu usikariri maisha
ALAFU HUNA LUGHA YA KUMFUNDISHA MTU MAISHA
KAMA LILIKUA LENGO LAKO
TEACHING METHOD-0.0001%
WORDS-0.0001%
TEACHING ENVIROMENT-0.0000001%
go back to school
herufi kubwa = shouting, why are you shouting?
Nilinunua kiwanja 2009 tshs 8m kwa sasa (2014) viwanja eneo lilelile la ukubwa uleule ni tshs 60m.na mkopo nilimaliza 2011.kununua kiwanja ni kuwekeza
Wahenga walisema. KWA MUOGA UNAKWENDA KICHEKO NA KWA SHUJAA ..NI. KILIO. It is good to learn by examples. but it is very bad for you to be the example.
Senki yuu vere macheee build the house because the father of the house is so danger.
hivi huwezi kuzichanga kupitia nyumba...??? Tena ina aprishieti, hayo makochokocho mengine yanadiprishieti...Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza
na ujiulize, kwa nini wanakaa katikati ya miji tu, huwezi wakuta wanaishi uswahilini... Hawajengi kwa sababu maisha yao wanataka wakae katikati ya miji, na katikati ndo kushajaa majengo na bei ya maeneo hayo kila mmoja anajuwa... Kama anaeneo kimbiji, huyo anasubiri ajenge dodown....kujenga nyumba kwa watanzania wengi ni jambo la kijamii zaidi na si kwa sababu ya mahitaji..ili kuleta heshima mbele ya jamii kuwa nae ana nyumba. Mi nawaangaliaga wahindi hawa jamaa anaweza hata kuwa na viwanda kadhaa hapa TZ hata nchi jirani but unaweza kukuta amepanga nyumba si kujenga mpaka leo sijaelewa kwa nn wanafanya hiv
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza