NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,023
Watapata tabu sanaWakati nachukua mkopo mwaka 2007 wa 16M na kumalizia nyumba yangu pale Dom watu walinicheka sana, wenzangu wakanunua hiace na used coaster, ila usimamizi ukawashinda na wakaziuza zoote
Kwa ss nachukua 400,000 kiulaiiini! Maisha nikujipanga tu, na siku zote usimuige mtu kuishi
Hakuna mtu aliyewahi kulala nje kwa kukosa sehemu ya kulala ila wapo waliotembea posta mbezi kwa kukosa usafiri.hakuna baba mwenye gari au baba mwenye bar ila kuna baba mwenye nymba. Unajiskiaje unapoamka asbh umejifunga taulo uko kwenye nymba ya kupanga tena chumba kimoja af jiona uko bar wanakusifu kwa kutoa offer
Umerahisisha sana.Kuna harufu ya wivu hapa, wewe umepanga nyumba nzima vyumba vitatu unalipa 250,000 kwa mwezi,hela ambayo unaitoa ktk mshahara na kumlipa mwenye nyumba, Mwenzio kakopa kajenga nyumba yake na anakatwa 200,000 kila mwezi, Nani mjanja hapa
Wahindi hawana nyumba bongo ila business zote kubwa ni zao deals kibao sisi unaenda kujenga Mavurunge 45kms toka city centreUmeongea ukweli lakini wachache watakuelewa. Tatizo wengi wanakosa elimu ya pesa, hasa vijana ambao wazazi wao ni waajiriwa. Mtoto tangu anakuwa anaambiwa ukiwa wa kwanza darasani utapata kazi nzuri. Hovyo asilimia kubwa formula ya maisha ni moja: KUSOMA-KUAJIRIWA-KUJENGA-KUNUNUA GARI-FAMILIA-PENSHENI.
Hii nimeipenda, acha wakae kubanana na akina mama wenye nyumba kila mwisho wa mwezi. Ila ukiwa na kajumba kako nani atakaeukipigia kelele!!!???Maisha ni nyumba
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utapigiwa kelele na gharama za mafuta/speaHii nimeipenda, acha wakae kubanana na akina mama wenye nyumba kila mwisho wa mwezi. Ila ukiwa na kajumba kako nani atakaeukipigia kelele!!!???
wewe hiyo 14 m najenga nyumba kisha nahami.kila mtu ana kipaumbele chake.mfano mimi nyumba kwanza mengine baadae.
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (mshahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozidi 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba. Hivi niulize, utajenga chumba ama nyumba na 14m?
Acheni mawazo ya kimaskini, hiyo hela iingize kwenye biashara uzichange kwanza.
Kweli kabisa mkuu,,Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (mshahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozidi 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba. Hivi niulize, utajenga chumba ama nyumba na 14m?
Acheni mawazo ya kimaskini, hiyo hela iingize kwenye biashara uzichange kwanza.
Kweli kabisa mkuu,,
Hata kupanga chumba pia ni uoga wa maisha,,
Bora ukae guest ,,,,
Kwl kabisaHata kukaa gesti ni uoga wa maisha pia mkuu akae stendi
Hili ndio neno la maana mkuukila mtu ana kipaumbele chake.