Kijana Kabila kathubutu, Kikwete anaweza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana Kabila kathubutu, Kikwete anaweza!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lukundo, Aug 2, 2009.

 1. L

  Lukundo Member

  #1
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Kabila awafuta kazi maafisa wakuu [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Imeandikwa na Mwandishi wa BBC.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot][​IMG][/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo - DRC, [/FONT]
  [FONT=&quot]Joseph Kabila amewafuta kazi zaidi ya maafisa 80 wa serikali wanaolaumiwa kwa ufisadi.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Rais Kabila pia ameagiza kustaafishwa kwa zaidi ya wafanyakazi 1,200 ambao amesema wamekuwa wakifanya kazi ilhali wameshatimiza umri wa kustaafu. [/FONT]
  [FONT=&quot]Mwandishi wa BBC Lubunga Byaombe anasema wengi wa maafisa waliofutwa kazi ni kutoka wizara za Ardhi, Fedha na ujenzi.[/FONT]
  [FONT=&quot]Maafisa hao wanalaumiwa kwa kutekeleza au kuruhusu vitendo vya ulaji rushwa wakati wa utendaji kazi. [/FONT]
  [FONT=&quot]Rais huyo wa Congo katika siku za hivi karibuni amekuwa akiendesha kampeni ya kupambana na ulaji rushwa katika serikali yake, na mwezi uliopita aliwafuta kazi mahakimu kadhaa akiwalaumu kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. [/FONT]
   
 2. L

  Lukundo Member

  #2
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati zikiwapo tuhuma nyingi kwa serikali ya raisi kikwete kuhusiana na ufisadi ,sasa katika kila wizara, Rais anaonekana kuwa mgumu kuagiza uwajibikaji wa watuhumiwa au hata viongozi wanaobeba dhamana ya mapungufu hayo. JE, kama mwezetu kijana NCHI JIRANI TU, japo ya kukabiliwa na matatizo ya nchi isiyo na mfumo mzuri na utawala, na sheria amedhubutu, kwa nini kiongozi wetu huyu kaacha mambo yaendeke kama wachumaji kwa shamba la bibi. AKISIMAMIWA ,ANAWEZA KUTHUBUTU?
   
 3. b

  bnhai JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli Rushwa Tanzania imekithiri saana. Tanzania uozo ni mwingi saana si tu kwa namna wanavyopokea rushwa, hata pia qualifications zao. Leo hii tukiomba kuangalia vyeti vya wafanyakazi wa serikali, au muda wanaokaa kazini ni balaa! Nadhani ipo haja ya kujenga nidham, tena na ni wizara hizo hizo kama DRC labda kwetu tuongeze na Elimu
   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Umri siyo hoja. Relatively speaking, hata Kikwete arguably ni "kijana" kati ya marais wa Kiafrika, so age has nothing to do with it.
   
 5. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Well, nakumbuka wakati nikiwa mdogo, nilipokuwa nikipeleka mashitaka yeyote kwa Babu, jibu alilonipa lilikuwa "CHAI YAO IKO JIKONI INACHEMKA."

  The same for Tanzania. Alama zote zinaashiria hivyo.

  Jana nilikuwa nasoma gazeti moja nikona mbunge mmoja ameshaanza kuiweka KANU kwenye maongezi yake. Nafikiri hii ni mara ya kwanza kwangu mimi kusikia kiongozi au mbunge kuzungumzia kifo cha KANU.

  So the time has come. They will vanish one after another if they don't change their ways.

  Congratulations to Kabila.
   
 6. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa JK nnchi imemshinda kabisa, anashindwa kutolea uamuzi masuala mbalimbali ambayo yeye kama akisema iwe na inakuwa.inaonyesha jinsi naye alivyo kuwadi wa mafisadi
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  jk si rais tena

  anachuja mbaya
   
 8. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  yeye hupenda kusimulia tu safari zake za nje kana kwamba hapo TZ ni nchi ya asali na maziwa..! ooooh tulikutana na wenzangu ....mara ooooh brr br br ....wakaniteua kuwa br brr brrrr brrrr....! hotuba ya kila mwezi...! brr brrrr brrrrr...!
   
 9. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  JK hana ubavu huo maana na yeye ni mmoja wao. Ukiwalipua nao watakulipua. Ndo maana kashindwa kuwawajibisha Hosea na Mwanyika. Wao wanajua deal lote hivyo hawezi kuwaondoa. Bunge lilitoa maazimio lakini Rais anapingana nalo. Hii vita ni kubwa kama watu hamjui, ni vita ya kikatiba. Akiwaondoa nao wataondoka naye maana hawawezi kubali kusulubiwa.
   
Loading...