KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same

mtendaji wa kijiji

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
533
114
DSC08730.JPG DSC08732.JPG DSC08733.JPG DSC08735.JPG

kATIKA KILE KINACHO ITWA MOVEMENT FOR CHANGE, KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same magharibi kwa mikutano anayoendelea kuifanya jimboni, Hali hii imesababisha mbunge wa jimbo hilo David Matayo David kuhangaika usiku na mchana akifanya mawasiliano na viongozi wa ccm wilaya kubuni njia za kumdhoofisha kijana huyu lakini amegonga mwamba.

Godson Yupo same kwa ziara yake ya kufungua misingi na matawi na kuhamasisha wananchi kuupokea vuguvugu la mabadiliko.

kwa matukio wasiliana na +255752225501
 
Huyu kijana nimependa sana juhudi zake na mipango yake ya kupeleka elimu ya Uraia huko vijijini, huu ni wakati wa wapare kupokea mabadiliko.

CHADEMA yatosha!!!!
 
Mafisadi yana njia nyinhgi sana za kummaliza huyo dogo,Kwani Shonza na mwenzake simliona wenyewe,njaaaaaaa wajameni ni kitu tofauti sana,inaweza kukufanya ukamkna hata ndugu yako,
 
Safi sana jembe. Yaan mtu akikuangalia kwa macho hawez jua kama ndo umejaa uwezo na ujasiri kiasi hicho. "......Kama hakuna wifi nyumban ntaomba kuwa housegelo wako" Penda wewe sana
 
mwambieni Hata sirinde alianza kwa shida sana. Hata nauli toka Dar kwenda kwao hakuanayo! alipewa 25,000/= na makao makuu!
 
go man go. Hiyo styl ya kupanda kiti nimeipenda sana. will try na mimi when I go to my bush
 
Huyo Mathayo si Kanjanja tu, hata hilo jina la u Dk sijui alipata lini? Kule Botwana alikuwa mwalimu kwenye chuo cha certificate ya kilimo. Hiyo PhD sijui aliipata wapi?
 
Nachukua likizo niende kumpa tafu na kujua kama kweli uwezo anao wa kuwatetea wananchi wa Same
 
View attachment 97512View attachment 97513View attachment 97514View attachment 97515

kATIKA KILE KINACHO ITWA MOVEMENT FOR CHANGE, KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same magharibi kwa mikutano anayoendelea kuifanya jimboni, Hali hii imesababisha mbunge wa jimbo hilo David Matayo David kuhangaika usiku na mchana akifanya mawasiliano na viongozi wa ccm wilaya kubuni njia za kumdhoofisha kijana huyu lakini amegonga mwamba.

Godson Yupo same kwa ziara yake ya kufungua misingi na matawi na kuhamasisha wananchi kuupokea vuguvugu la mabadiliko.

kwa matukio wasiliana na +255752225501

Pambana kijana
 
Huyo Mathayo si Kanjanja tu, hata hilo jina la u Dk sijui alipata lini? Kule Botwana alikuwa mwalimu kwenye chuo cha certificate ya kilimo. Hiyo PhD sijui aliipata wapi?

Dokta wa mifugo (veterinarian).
 
Huyu kijana inaoneka kabisa NIA anayo, UWEZO anao, HOJA anazo na CHAMA anacho(CHADEMA).
Ni jukumu letu sote sisi wapenda mageuzi kumuunga mkono kwa hali na mali.
Mimi binafsi nitajitolea kwenda kumuunga mkono katika harakati hizi za mabadiliko.

Peopleeee'sssss Poweeeeerrrr!!!
 
Huyo Mathayo si Kanjanja tu, hata hilo jina la u Dk sijui alipata lini? Kule Botwana alikuwa mwalimu kwenye chuo cha certificate ya kilimo. Hiyo PhD sijui aliipata wapi?

Ukiwa CCM kila kitu ni kuchakachua tu, wapo akina Dk. Nchimbi, Dk. Nagu na Prof. Tall water! Wote hawa waliupata Udokta kabla. Chezeya gamba weye, ndo maana hawatoki humo!
 
Back
Top Bottom