Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LA muhimu ujumbe umefika. Mengine kajadilini ufipa ila 2020 Mbeya Mjini hamna chenu. Wameamua ku-Tulia.
Ukimwi usome tu kwenye vitabu na post mitandaoni ila sio kwenye karatasi la majibu
Yaani acha tuMungu atuepushie tu , huu ugonjwa umemaliza watu sana.
LA muhimu ujumbe umefika. Mengine kajadilini ufipa ila 2020 Mbeya Mjini hamna chenu. Wameamua ku-Tulia.
Bado vijana hawapati somo. Nilikua kona baa "wajasiriamali" wanasimfia mtengenezaji wa domo kwa kupiga kavu na kuhongaMungu atuepushie tu , huu ugonjwa umemaliza watu sana.
LA muhimu ujumbe umefika. Mengine kajadilini ufipa ila 2020 Mbeya Mjini hamna chenu. Wameamua ku-Tulia.
Siasa ndio imekupa bundle ya kuchat hapa
Sasa tunazungumzia UKIMWI au Siasa?Siasa ndio imekupa bundle ya kuchat hapa
Mungu atuepushie tu , huu ugonjwa umemaliza watu sana.
We jamaa ni kanyaboya la ovyo SanaSiasa ndio imekupa bundle ya kuchat hapa
Huyu jamaa ni kanyaboya la ovyo SanaSasa tunazungumzia UKIMWI au Siasa?
Asante Sana Mpwa, nimempuuza
Ujumbe umeupata hilo ndio lengoAsante Sana Mpwa, nimempuuza