Kijana atumia hela ya kodi kuchora Tatoo ya Wema. Sasa hivi familia yake inalala nje

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Hatari sana wakuu
IMG_20200506_200618_450.JPG


======

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Papamafido ametumia kodi ya nyumba na kulazimika kulala nje baada ya pesa hiyo kwenda kuchorea ‘TATTOO’ ya Wema Sepetu.

Akizungumza na Bongo5, Papamafido amesema kuwa amelazimika kulala nje Miezi baada ya pesa za kodi kwenda kuchora ‘Tattoo’ ya Msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu huku kijana huyo akionyesha mapenzi yake kwa mwanadada huyo.

Papamafido ambaye hapo jana alibahatika kuonana uso kwa uso na Wema, alishindwa kuzuia hisia zake na kuvua shati lake alilovaa kisha kumuonyesha Wema Sepetu ‘Tattoo’ kubwa yenye sura yake aliyoichora nyuma ya mgongo na kumuacha Msanii huyo akishika mdomo pasipo kuamini mapenzi makubwa aliyoonyesha kijana huyo.

Mbali na kujichora huko ‘Tattoo’ iliyopelekea hadi baadhi ya ndugu zake kumtenga huku marafiki zake wa karibu kumcheka, lakini pia alikuwa na michoro mingine ambayo amemchora Wema Sepetu katika vibao na kumkabidhi.

Source: Bongo 5.
 
Nimeamini penye nia pana njia huyu chalii aliambiaga siwezi kufa bila kumla wema nikamuonaga duanzi iyo ilikuaga 14 naona 2020 anaenda fanikiwa, mjomba kapambana ya ela yote
Kitu cha ajabu ni kwamba uzuri wa sura na umaarufu uko tofauti na utamu wa mbunye ya mtu. anaweza pewa mbunye na wema akakimbia kabisa ilivyo mbovu labda kuliko za mwajuma ndala ndefuu wa buza kwa limboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom