Ama Kweli wewe ni mwafrikahalisi! Hapa anayetakiwa kushitakiwa ni Mgufuli aliyewaamuru wananchi wa Kigamboni waogelee mahali palipo na njia ya meli. kwani Magufuli alipokuwa anatoa agizo la wananchi wasio napesa wavuke kwa kuogele hakujua kuwa ni njia ya meli :A S embarassed:?
una mtazamo hasi
ungelaumiwa wewe
Hiyo ndio chichiemu maan,wababe mpaka kwenye kula hata wakishiba hawakupi kiporo utaishia kunawa tuu maan.Ahadi zao miloni mia laki halafu geeee.Sasa sijui anashitakiwa kwa kosa lipi....yaani watu mnawaambia wapige mbizi halafu wakipiga mbizi mnawakamata ...serikali legelege
Hiyo ndio chichiemu maan,wababe mpaka kwenye kula hata wakishiba hawakupi kiporo utaishia kunawa tuu maan.Ahadi zao miloni mia laki halafu geeee.[unashangaa milioni mia laki??]
Kabla ya kupingana na magufuli vyema kujiuliza hiyo TShs 100 iliyoongezeka inanunua nini kwa hali ya sasa (opportunity Cost). Msipende kuwa daraja la wanasiasa. Magufuli yuko sahihi kabisa, ni kiongozi mkweli. Kuhusu kauli aliyotoa ni kutokana na mazingira yaliyokuwepo wakati anahutubia. Magufuli Songa Mbele Tujenge Nchi !
Kuna mijitu humu kutokana na kuishi maisha ya kiyai yai tangu utoto wao hadi uzeeni hawajui kwamba kuna watu wamechomwa spoku na makonda kwa kukosa sh 50 kujazia nauli ya 300 ktk safari zao za daladala. Mijitu mingine ni zaidi ya *****si!