Kijana anatafuta kazi yoyote

mwerevu mwenye busara

Senior Member
Oct 23, 2016
144
91
Habari zenu wakuu.
Nina ndugu yangu wa kiume umri wake ni miaka 29 anaishi Ubungo.

Elimu yake ni ya darasa la saba ila ana ujuzi wa kompyuta kiasi na udereva wa magar ya aina zote na bajaj pia yuko physically fit.

Anatafuta kazi yoyote halali kama ni security, viwandani, udereva , kuuza duka, usafi na zingine zinazoendana na hizo.

Yupo tayari kukubali kuunganishwa na mtu kisha akamlipa kitu kidogo baada ya kupata mshahara.
Namba yake ni 0718020979
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom