Kijana anatafuta kazi yoyote

  • Thread starter mwerevu mwenye busara
  • Start date

mwerevu mwenye busara

mwerevu mwenye busara

Senior Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
147
Likes
89
Points
45
mwerevu mwenye busara

mwerevu mwenye busara

Senior Member
Joined Oct 23, 2016
147 89 45
Habari zenu wakuu.
Nina ndugu yangu wa kiume umri wake ni miaka 29 anaishi Ubungo.

Elimu yake ni ya darasa la saba ila ana ujuzi wa kompyuta kiasi na udereva wa magar ya aina zote na bajaj pia yuko physically fit.

Anatafuta kazi yoyote halali kama ni security, viwandani, udereva , kuuza duka, usafi na zingine zinazoendana na hizo.

Yupo tayari kukubali kuunganishwa na mtu kisha akamlipa kitu kidogo baada ya kupata mshahara.
Namba yake ni 0718020979
 
tax compliant

tax compliant

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
1,108
Likes
1,044
Points
280
tax compliant

tax compliant

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
1,108 1,044 280
Kuna kazi ya kuchoma chips kigamboni posho ni 5000 kwa siku. Kama anaweza njoo pm
 

Forum statistics

Threads 1,249,767
Members 481,045
Posts 29,711,060