lakini ni kweli kibaki kama tulivyoambiwa?? Mbona vibaka hawazikwi kwa nyomi hii?Muda utaongea
Hapana.. Usikiri kushindwa kamwe rafiki! Amini hakuna gumu mbele za Mungu, hebu mtumaini yeye rafiki. Halafu mshukuru kwa kila jambo, we sema asante Yesu rudia mara nyingi uwezavyo utapata amani!Asante sana sana Rafiki, nakosa uvumilivu kabisa
Mzandiki mkubwa usiye na hata chembe ya aibu! Wewe na Wahuni wenzako mlipokuwa Mnashangilia mauaji ya Kibiti hayakuwatoka machozi. Mtakipata mnachokitafuta. KCUF UOY!Kwa kweli yamenitoka machozi...!
Uvumilivu wetu ndio umetufikisha hapaAisee... Hivi kwanini nipo bongo?
Yaani mkuu acha tu, kuna watu wanajifanya hao ndio wamiliki wa nchi, ipo sikuAisee... Hivi kwanini nipo bongo?
Teh teh kwahiyo ndio mmewalipizia wakina Lissu, Akwilina na huyo dogo wa Mbeya? Bloody fool!!!!Mzandiki mkubwa usiye na hata chembe ya aibu! Wewe na Wahuni wenzako mlipokuwa Mnashangilia mauaji ya Kibiti hayakuwatoka machozi. Mtakipata mnachokitafuta. KCUF UOY!
Burkifaso waliamka kina mama na wadada tu rais akalala mbeleUkiona akina mama wanaamka, ogopa sana. Sijui kama miaka 5 itakwisha (achia mbali 10). Kama kweli wewe ni raia wa kawaida na unaona haya na kuwaunga mkono walioyafanya, jitathimini kama kweli wewe ni binadamu ama shetani.
Pu mba vuvukabisa.Kama panya road tu pindi wakienda kuzika mwenzao tofauti ni kwamba panya road wakimaliza kuzika walikuwa wanafanya fujo
Mkuu, huu sio uvumilivu, ni ujinga uliyochangamana na woga, watanzania ni kama maiti. Hakuna nchi yenye wananchi wanaoweza kuvumulia haya, only in Tanzania.Uvumilivu wetu ndio umetufikisha hapa
Hivi ni akili unatumia zilizo kichwani au unatumia za kwenye makalio? Kwahiyo unaona sifa kuwa kijana kauwawa na polisi kwa kuingiza upuuzi wako wa siasa za ushabiki wa kipumbavu? Kwahiyo unalipiza kisasi kushangilia kifo? Stupid Idiot.Mzandiki mkubwa usiye na hata chembe ya aibu! Wewe na Wahuni wenzako mlipokuwa Mnashangilia mauaji ya Kibiti hayakuwatoka machozi. Mtakipata mnachokitafuta. KCUF UOY!
Machozi yamenitoka, Yes aliyeshinda kifo na mauti akuvushe salama ndugu.Asante sana sana Rafiki, nakosa uvumilivu kabisa
Kama panya road tu pindi wakienda kuzika mwenzao tofauti ni kwamba panya road wakimaliza kuzika walikuwa wanafanya fujo