Kijana aliyepo maeneo ya Kibaha, Mlandizi au Daresalaam na anajua kuchoma chips

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,258
Husika na kichwa cha habari hapo Juu,nahitaji kijana.
Umri:miaka 18-25
Dini:yeyote
Awe na mahali pa kuishi.
Mkoa Dar au maeneo ya jirani(mlandizi,kibaha,)
Kazi:atakuwa anachoma chips na nimtalipa
kadri ya makubaliano yetu,wote ni vijana kila mmoja apate riziki.
Mawasiliano:0746688135,piga,WhatsApp au sms
 
Back
Top Bottom