Kijana aliyemdhalilisha askari polisi aliyebandua picha za Mtulia lazima akamatwe ili kulinda heshima ya jeshi letu

Jeshi la Polisi nchini hata kama lina mapungufu yake lazima liheshimiwe. Haiwezekani mtu mimi namuita mhuni kuanza kujibizana hadharani na Askari Polisi kwa kumporomoshea matusi askari anayetekeleza wajibu wake kwa vile tu yeye ni mwanachama wa chama tawala.

Nategemea huyo kijana anayesikika kumdhalilisha askari kama bado hajakamatwa jeshi limtafute na kumfikisha kwenye vyombo husika ili kulinda heshima ya jeshi.

Iwapo polisi kwa kitendo kile itakaa kimya kuna hatari siku moja vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwa kiburi cha kulindwa na dola, watajichukulia sheria mkononi na kumnyang'anya polisi silaha kitendo ambacho kinaweza kuhatarisha usalama wa raia wasiohusika.

Aisee kijana anajiamimi sio mimi yaan namvuruga kanitukana na simu ina recod namnyoosha
 
Mmeshashikia bango tayari, matusi ya sugubkwa rais sawa ya huyu kwa polisi siyo sawa

Pelekeni UN hiyo video msaidiwe kuipigia promo labda mtaambulia kura.

Hivyo ni vitu minor sana kwa siasa za sasahivi kiki hazina nafasi kapigeni kampeni acheni kulialia.

Ninachoamini kabisa hao ni wanachama wa cdm wamejigeuza ccm kulinda mabango ya ccm na kutukana ili kuichafua ccm ndiyo maana unashikia sana bango kwakuwa unajua kinachoendelea hapo,huo ni ujanja wa kizamani.

Nakukumhusha maandamano fulani hivi ya cdm kujibadili kuwa ccm na walipokamatwa wakakutwa na kadi na bendera za cdm.

Kula kichapo na kusema wametumwa ndiyo ilikuja tokea

Nakurudisha
Wale waliotumwa na marehemu Masaburi?
 
Hao ni polisi au wale wazee wa SUMA JKT??
Maana kwa kiburi cha huyo jamaa ni wazi kabisa hakua anabishana na jeshi la polisi hata sare za hao ni kama za ulinzi.
 
Mmeshashikia bango tayari, matusi ya sugubkwa rais sawa ya huyu kwa polisi siyo sawa

Pelekeni UN hiyo video msaidiwe kuipigia promo labda mtaambulia kura.

Hivyo ni vitu minor sana kwa siasa za sasahivi kiki hazina nafasi kapigeni kampeni acheni kulialia.

Ninachoamini kabisa hao ni wanachama wa cdm wamejigeuza ccm kulinda mabango ya ccm na kutukana ili kuichafua ccm ndiyo maana unashikia sana bango kwakuwa unajua kinachoendelea hapo,huo ni ujanja wa kizamani.

Nakukumhusha maandamano fulani hivi ya cdm kujibadili kuwa ccm na walipokamatwa wakakutwa na kadi na bendera za cdm.

Kula kichapo na kusema wametumwa ndiyo ilikuja tokea

Nakurudisha
mwisho wakufikiria kwako ndiyo maana ni utumbo tu umeandika hapa.
 
Jeshi la Polisi nchini hata kama lina mapungufu yake lazima liheshimiwe. Haiwezekani mtu mimi namuita mhuni kuanza kujibizana hadharani na Askari Polisi kwa kumporomoshea matusi askari anayetekeleza wajibu wake kwa vile tu yeye ni mwanachama wa chama tawala.

Nategemea huyo kijana anayesikika kumdhalilisha askari kama bado hajakamatwa jeshi limtafute na kumfikisha kwenye vyombo husika ili kulinda heshima ya jeshi.

Iwapo polisi kwa kitendo kile itakaa kimya kuna hatari siku moja vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwa kiburi cha kulindwa na dola, watajichukulia sheria mkononi na kumnyang'anya polisi silaha kitendo ambacho kinaweza kuhatarisha usalama wa raia wasiohusika.
Inakusaidia nini katika maisha yako? Yaani hiyo ndiyo shida yako kwa sasa!
 
Hakuna chama kiwe tawala kinachoongoza nchi hata kiwe na mapungufu gani kimkingie kifua mtu eti mfuasi wake avunje sheria na atukane polisi mwenye crown unatukana Amiri Jeshi lazima Siro atamwadabisha
 
Jeshi la Polisi nchini hata kama lina mapungufu yake lazima liheshimiwe. Haiwezekani mtu mimi namuita mhuni kuanza kujibizana hadharani na Askari Polisi kwa kumporomoshea matusi askari anayetekeleza wajibu wake kwa vile tu yeye ni mwanachama wa chama tawala.

Nategemea huyo kijana anayesikika kumdhalilisha askari kama bado hajakamatwa jeshi limtafute na kumfikisha kwenye vyombo husika ili kulinda heshima ya jeshi.

Iwapo polisi kwa kitendo kile itakaa kimya kuna hatari siku moja vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwa kiburi cha kulindwa na dola, watajichukulia sheria mkononi na kumnyang'anya polisi silaha kitendo ambacho kinaweza kuhatarisha usalama wa raia wasiohusika.

Hakuna askari polisi,ila kuna walinzi wa kampuni ya China Security,kama lengo lako ni kupata viewers wengi kwenye account yako google,basi umetupata
 
Hao ni Askari wa Tanzania hii ya "sijaribiwi'' au mgambo tu hawa? Wameanza lini kuwa wakarimu hivi? Au alivyoambiwa Monduli hajaenda, akanywea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom