Kijana aliyebaka na kulawiti Watoto huko Iringa anaweza kufungwa maisha

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jeshi la Polisi linamshikilia Arnold Mlay kwa tuhuma za kuwalawiti Watoto 12 katika kituo chake cha Michezo ya Watoto 'Video Games' huko Semtema Iringa.

Kati ya wahanga wa ulawiti wapo Wanafunzi wa Sekondari.

Adhabu ya kubaka kwa mujibu wa kanuni ya adhabu:

Kifungu cha 131.-(1): Mtu yeyote atakayetenda kosa la kubaka, atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha, na kwa kila kesi ambayo kifungo chake hakipungui miaka thelathini pamoja na adhabu ya viboko na faini.

Atatakiwa kulipa fidia ya kiasi ambacho kitatamkwa na Mahakama, kwa mtu ambaye ametendewa kosa hilo.
 
Ubakaji na ulawiti ni makosa ya juu nao adhabu yake iko wazi hata kabla ya tendo mtendaji anajua ni kifungo cha maisha au miaka 30 kulingana na masuala ya kisheria kama vile umri na hali ya mtende wa. Mfano unambaka mama mtu mzima adhabu yake ni tofauti na kumbuka mtoto mdogo. Unambaka mtu mzima mlemavu utapata thawabu yake. Ukitaka kujua hayo hudhuria sessions za mahakama.
Kuwatendea unyama huo watoto huwezi kuwa mbali na kifungo cha maisha.
 
Huyu Mangi vipi Tena ?Anawaaibisha wachaga

Kashapigwa Maisha huyo Fala na viboko 50 asubuhi na jioni ili kulegeza matako nae wamfanyie alichowafanyia watoto.Heko kwa mahakama.
 
Jeshi la Polisi linamshikilia Arnold Mlay kwa tuhuma za kuwalawiti Watoto 12 katika kituo chake cha Michezo ya Watoto 'Video Games' huko Semtema Iringa.

Kati ya wahanga wa ulawiti wapo Wanafunzi wa Sekondari.

Adhabu ya kubaka kwa mujibu wa kanuni ya adhabu:

Kifungu cha 131.-(1): Mtu yeyote atakayetenda kosa la kubaka, atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha, na kwa kila kesi ambayo kifungo chake hakipungui miaka thelathini pamoja na adhabu ya viboko na faini.

Atatakiwa kulipa fidia ya kiasi ambacho kitatamkwa na Mahakama, kwa mtu ambaye ametendewa kosa hilo.
Alikuwa anawadanganya na kitu gani hadi wakafika 12? Dunia kweli tambara bovu
 
Sijui watu wengine wameumbwaje, unawezaje kubaka watoto?

Hata kama judiciary system yetu ya hovyo lakini kesi ya murder na rape huchomoki.

Namshauri tu ajiue hamna namna!
 
Hapo ukweli hajabaka Ila hivyo vitoto vilijikengesha vyenyewe. Nikishawahi kuishi jirani na sehemu wanaingiza nyimbo na kuchezesha game haki Yule mwenye ofisi alikuwa anawala watoto hadi wake za watu Tena saa ingine mle mle ofisini maana kulikuwa na partition.
Wengine wanashinda humo kuangalia porno wakimaliza wanafanya Kwa vitendo kabisa.

Huyo mangi atakuwa alitegewa mtego akategeka Kwa vitoto vya shule ndo akabambikwa ubakaji
 
Ashapotea.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia imeharibika saana hasa kwa watoto wa kiume
nje ya uzio wa nyumba yangu, niliwafurumusha watoto wa kiume wakilawitiana
mkubwa wa kiume km miaka 14 kamtegeshea mdogo wa miaka km 12 au 14 lkn kiumbo mdogo.
mwanangu wa kiume wa umri wa miaka 6 kaniita na kunielekeza wanachofanya maana Binti wangu wa kike 10yrs kawakuta mara nyingi akashindwa kuniambia kamtuma mdogo wake
Jamani msaada nikiwakamata nina ushahidi wa kuwashtaki au kuwapeleka Polisi?
au niendelee kuwafukuza na panga starehe zao hao wavulana wakafanyie kwa wazazi wao (wazazi siwajui)
 
Hao washugulikie haraka sana aise

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom