Kijana aliye daiwa kapewa pesa ya uchaguzi na cdm ndo kawa rais ardhi university

alexander paulo

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
492
155
japokuwa kijana alichafuliwa sana apa katika mtandao kuwa kapewa pesa na cdm na pia hata wakati wa upigaji kura kijana bado alikuwa anachafuliwa sana ndo kawa raisi wa chuo kikuu ardhi poleni sana wale mnaopewa vijipesa kuchafua watu KAMA MUNGU KAPANGA HAKUNA WA KUBADILISHA@ A-Z pole kijana na timu yako ndo siasa kijana jipange upya
 
Hakika hauwez kupingana na sauti ya wengi, mpaka leo asubuhi bwana SABINI RICHARD, ambaye ndo rais wetu alikewa pingamizi ili aondolewe lakini kwa umakini na uaminifu wa bwana INEGEJA ambaye ndo mwnyekiti na spka wa bunge ailiapa kutenda haki kwa mujibu wa sheria licha ya ahad na vitisho mbalimbal ailivyoahidiwa kawafanya wana wa ARDHI kuwa na furaha isiyo kifani, pongezi zimufikie pia compaign manager bwana KIRAKA, kwa kugundua wizi a kura 32 ambazo zingemfanya bwana SABINI RICHARD ashindwe, mtu aliyesema kwamba ni chadema ndo wamefadhili ni mtu mbaya sana kwa chama na kwa nchi nzima kwa ujumla amekuwa akichafua chama na viongozi mara kwa mara amekuwa akitumia ID mbili A _Z na HAMY _D namfahamu kwa sura na kwa majina kwa sabau nasoma nae na alikuwa mgombea wa itikadi na uenezi tawi la chuo kikuu ardhi(ccm) ila alishindwa, rai yangu WANA ARU TUUNGANE PAMOJA KUJENGA CHUO CHETU NA NCHI YETU KWA UJUMLA MUNGU AWABARIKI
 
inabidi wajue siasa ni nini sio wanaleta siasa za ccm katika mazingira ya chuo hivi hawajui kuwa hata hao ma dr na prof wanaitikadi za cdm?
 
Niijuavyo chadema haina mambo ta kutoa pesa kama Magamba.kila mtz anauhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.RICHARD SABIN kwa uwezo wake anadeserve kabisa kuwa raisi sio tu wa chuo ila ata wa nchi.Magamba mtahangaika sana mwaka huu.VIVA SABIN....changamito zilikuwa nyingi lakini mipango ya MUNGU ni lazima itimie na imetimia.
 
Niijuavyo chadema haina mambo ta kutoa pesa kama Magamba.kila mtz anauhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.RICHARD SABIN kwa uwezo wake anadeserve kabisa kuwa raisi sio tu wa chuo ila ata wa nchi.Magamba mtahangaika sana mwaka huu.VIVA SABIN....changamito zilikuwa nyingi lakini mipango ya MUNGU ni lazima itimie na imetimia.
chadema wanahonga sana walimhonga mpaka jaji kaduli tunajua.
 
Kakasamu lazima tutakufungulia mashitaka ili ukathibitishe hiyo hongo Chadema walivyoitoa kwa Jaji Kaduri. Hatuwezi kuendelea na mambo ya kijinga kiasi hicho
 
niijuavyo chadema haina mambo ta kutoa pesa kama magamba.kila mtz anauhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.richard sabin kwa uwezo wake anadeserve kabisa kuwa raisi sio tu wa chuo ila ata wa nchi.magamba mtahangaika sana mwaka huu.viva sabin....changamito zilikuwa nyingi lakini mipango ya mungu ni lazima itimie na imetimia.
gud job
 
Back
Top Bottom