Kijana akamatwa akifanya ngono na mbwa

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
UKISHANGAA ya Musa, utayaona ya Firauni, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mkazi wa Kata ya Mwembesongo katika Manispaa ya Morogoro , Sultan Juma ( 25) kudaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa jike wa jirani yake.

Juma anadaiwa kukutwa akimuingilia mbwa huyo ndani ya choo cha mwenye mbwa usiku wa manane Novemba mosi, mwaka huu.

Inadaiwa kuwa, kijana huyo alikamatwa baada ya kuwekewa mtengo wa muda na wenye mbwa wao baada ya kubaini mbwa huyo ameharibiwa sehemu ya zake za siri za haja ndogo kwa kuingiliana na kitu.

Hatimaye za mwizi ni arobaini, mtuhumiwa huyo anadaiwa kukamatwa na mtego wa mwenye mbwa na kufikishwa polisi.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Thobias Andengenye amedhibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na kuwekwa mahabusu akisubiri kufungukiwa shitaka.

Kwa mujibu wa Andengenye, mtuhumiwa huyo alikutwa na hatia hiyo usiku wa manane wa kuamkia jana katika eneo la Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro.

Akielezea mazingira ya tukio hilo, Andengenye alisema, mwenye mbwa huyo, Boniface Raphael ( 20) akiwa na mwezake aliyetajwa kwa jina moja la Mwinyi, walifikisha suala hilo Polisi baada ya kumfuma mtuhumiwa akifanya ngono na mbwa wao ******.

“Mlalamikaji akiwa na mwenzake, alifikisha shitaka hilio polisi baada ya kumkamata mtuhumiwa akifanya ngono na mbwa wao kwenye choo cha nyumba yao majira ya saa 7: 48 usiku wa kuamkia Novemba Mosi, mwaka huu.”

“Walalamikaji wanadai waligundua sehemu za siri za mbwa huyo zimekuwa nyekudu na kuvimba …na walifikiri kuwa ni maradhi na kuamua kumtibu akapona,” alisema Andengenye akinukuu maelezo dhidi ya mtuhumiwa.

Alidai kuwa, walalamikaji walisema baada ya mbwa huyo kupona, haukupita muda hali yake ilijirudia na baada ya kumtibu waliamua kufanya uchunguzi nyakati za usiku kwenye banda la mbwa wao.

Alidai katika uchunguzi huo, siku ya tukio hilo walimwona mtuhumiwa akifika katika banda la mbwa wao akiwa na chakula ambacho alimpatia.

Baada ya kumuona walimwacha bila kumshitua na ndipo alitomtoa nje kwenda naye kwenye choo chao na kuingia ndani pamoja na mbwa huyo.

Kwa mujibu wa maelezo ya walalamikaji hao, walidai baada ya kuingia ndani, alijifungia mlango na wao walimua kwenda kuufugua kwa nguvu na kumkuta akiwa ameketi kwenye
stuli amempakata mbwa wao huku akiendelea kufanya kitendo hizo.
 
:doh: dunia imekwisha lol! inamaana hajaona wanawake huko Moro ama mji wa Moro hauna wanawake?
 
wasimfunge, wampeleke hospitalini straight. Lazima ni mgonjwa wa akili.
 
For incidents like this I come to conclude that human race is the most dangerous specie in the world.
 
Hahahaah jamaa alikuwa amempakata mbwa anajinafasi duh...

Wajuvi wa sheria huyu jamaa atafunguliwa shitaka gani hapo? Maana inaonyesha mbwa nae alikuwa anafrahia lasivyo angemng'ata jamaa
 
Inawezekana alikuwa katika kutimiza alichoagizwa na mganga - katika kutafuta utajiri wa haraka au manufaa mengine.
 
huyo jamaa wangemwacha anase kama wanavyofanya mambwa dume then wamtoe hadharani aumbuke..... Dunia inaelekea kubaya
 
ila hayo ni maajabu, tunaelewa wanyama kama mbwa hufanya hilo tendo wanapokuwa kwenye heat ,tena wanapotaka kuzaa,huyo jamaa kweli kiboko,amewezaje kumshawishi mbwa kufanya tendo hilo?, labda ni bingwa wa kutongoza wanyama, akajaribu kwa simba ama chui..
 
Jamaa labda alivutiwa na mguno wa mbwa, si unajua tena miguno nayo anatia hamasa!
 
Atakuwa na matatizo ya akili, au kama alivyosema mmoja hapo juu alikuwa anatimiza masharti ya mganga.
 
ni mzima kabisa, kwa nini amletee chakula, ajifiche ******, abebe stuli aende nayo ******???????????? KWA NINI AMRUDIE MBWA YULEYULE? SI ABAKE MBWA KOKO WA MTAANI AONJE UKALI WAO?

KAMA MGONJWA BASI ANGEFANYA HIVYO MCHANA KWEUPE. HUYU ANAWEZA KUMBAKA HATA SIMBA MSITUNI MIKUMI!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom