jamani msiingize sababu za mapenzi na shibe kwani tuliokuwepo eneo la tukio huyu kijana kama katundikwa tu pale baada ya kukabwa!!
Police wamekuja wamemchukua,inasemekana ni dereva bajaj!!!
huyu hajajiua ila ameuwawa na wezi wakampokonya bajaj yake..
"When people kill themselves, they think they're ending the pain, but all they're doing is passing it on to those they leave behind." ------ Jeannette Walls
.
jamani msiingize sababu za mapenzi na shibe kwani tuliokuwepo eneo la tukio huyu kijana kama katundikwa tu pale baada ya kukabwa!!
Police wamekuja wamemchukua,inasemekana ni dereva bajaj!!!
Plz Polisi tunaomba hii ishu msiwahusishe Chadema waacheni wapumzike!!!!jamani msiingize sababu za mapenzi na shibe kwani tuliokuwepo eneo la tukio huyu kijana kama katundikwa tu pale baada ya kukabwa!!
Police wamekuja wamemchukua,inasemekana ni dereva bajaj!!!
kwanini kuweka picha kama hii pasi kutoa angalizo??
sio picha nzuri sana za kuweka bila kumtahadharisha msomaji.
ni ushauri tu natoa.