Kijana ajinyonga leo maeneo ya Mbezi Beach njia panda ya Rainbow!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
moja2.JPG

moja 1.JPG

moja3.JPG

Hizi ni kati ya picha nilizoweza kuchukua leo asubuhi ya tarehe 7/6/2013 tukio hili hapa limetokea pale Rainbow katika njia panda ya kuelekea Tangibvu!
 
Attachments

  • MOJA4.JPG
    MOJA4.JPG
    183.2 KB · Views: 560
Duuh

Nini kimeisibu hii nguvu kazi ya Taifa ?
Alazwe Anapostahiri.
 
jamani msiingize sababu za mapenzi na shibe kwani tuliokuwepo eneo la tukio huyu kijana kama katundikwa tu pale baada ya kukabwa!!

Police wamekuja wamemchukua,inasemekana ni dereva bajaj!!!
 
kwanini kuweka picha kama hii pasi kutoa angalizo??
sio picha nzuri sana za kuweka bila kumtahadharisha msomaji.
ni ushauri tu natoa.
 
Kwasababu ameshakufa sina budi kumuomba Mwenyez Mungu ampunzishe kwa amani, lakini uchunguzi wa kina ufanyike juu ya kifo chake.
 
.
"When people kill themselves, they think they're ending the pain, but all they're doing is passing it on to those they leave behind."
------ Jeannette Walls
.
 
jamani msiingize sababu za mapenzi na shibe kwani tuliokuwepo eneo la tukio huyu kijana kama katundikwa tu pale baada ya kukabwa!!

Police wamekuja wamemchukua,inasemekana ni dereva bajaj!!!

halafu ndo wez wa siku hizi walivyo.

wiki mbili zilizopita kuna mtu aliibiwa maeneo ya ubungo baruti na vibaka tena ilikuwa iusiku wa saa 4, walitaka kumwua wakisema leta kamba ila kijana alikuwa jasiri ingawa alivunjwa meno lkn aliweza kuwashinda na wezi wakatokomea na pesa zake.
 
.
"When people kill themselves, they think they're ending the pain, but all they're doing is passing it on to those they leave behind."
------ Jeannette Walls
.
huyu hajajiua ila ameuwawa na wezi wakampokonya bajaj yake.
 
jamani msiingize sababu za mapenzi na shibe kwani tuliokuwepo eneo la tukio huyu kijana kama katundikwa tu pale baada ya kukabwa!!

Police wamekuja wamemchukua,inasemekana ni dereva bajaj!!!

ooh my god ..RIP kijana
 
jamani msiingize sababu za mapenzi na shibe kwani tuliokuwepo eneo la tukio huyu kijana kama katundikwa tu pale baada ya kukabwa!!

Police wamekuja wamemchukua,inasemekana ni dereva bajaj!!!
Plz Polisi tunaomba hii ishu msiwahusishe Chadema waacheni wapumzike!!!!
 
Angalia hizo picha vizuri. Huyu hajajinyonga, mtu aliyejinyonga ni lazima atatoa ulimi nje.
Huyo ameuawa na kuning'inizwa ili kupoteza ushahidi.

kwanini kuweka picha kama hii pasi kutoa angalizo??
sio picha nzuri sana za kuweka bila kumtahadharisha msomaji.
ni ushauri tu natoa.

Acha ujinga wewe. Unapoangalia picha za watu wakitongozana au wewe kushiriki mijadala ya namna hiyo ni jambo la kutisha kuliko hizi picha. Kutongozana ni mauti pia
 
Back
Top Bottom