Kijana 24 natafuta kazi yeyote

unaishi wapi, unaishi na nani? kuna kazi lakini inahitaji mtu mwaminifu mvumilivu na kujituma
Kama bado tupo na akina mimi mkuu ninashida na hamu ya kufanya Kazi yeyote.
 
 
Kama bado tupo na akina mimi mkuu ninashida na hamu ya kufanya Kazi yeyote.
Habari kaka, mimi nina bidhaa zangu za dagaa za kukaanga zimepakiwa tayari kwa kuuzwa popote kwa malipo ya commission unaweza kufanya kazi iyo.??...0657940974
 

Attachments

  • VID_20200801_171923.mp4
    4.6 MB

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom