Kiini Macho cha CCM kwa Watanzania chaonekana leo Mwanza baada ya kufanya mkutano wa hadhara

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,259
2,000
Ndugu watanzania wenzangu huu ni mkutano mwanza Leo uwanja wa furahisha Mh Katibu na itikadi na uwenezi Mh pole pole akihutubia na Mbunge wa ilemela swali kwa watanzania wenzangu bwana mkubwa alikataza mikutano ya hadhara kila Mbunge afanye kwenye jimbo lako swali nauliza pole pole ni Mbunge wa mwanza? Jamani watanzania wenzangu hii kumbe Ccm wao wanaruhusiwa ila ukawa ndiyo hawaruhusiwi ubaguzi huu wa vyama hatuwezi kukubali na sisi ukawa tuanze na mikutano ya hadhara vyama vyote viko kisheria bana sasa tunasema inatoshaaa
ccm.jpg
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
27,448
2,000
Tunajionea Maajabu Nchi Hii Yaani
James Mbatia Juzi Kwenye Bunge La Bajeti Aliongea Vizuri Sana
Serikali Ipeleke Bungeni Iifanyie Katiba Marekebisho Ili Kuwa Na Ccm Pekee Yake Hapa Nchini Kuliko Kiini Macho Hiki Kinachoendelea Sasa
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,138
2,000
Ndugu watanzania wenzangu huu ni mkutano mwanza Leo uwanja wa furahisha Mh Katibu na itikadi na uwenezi Mh pole pole akihutubia na Mbunge wa ilemela swali kwa watanzania wenzangu bwana mkubwa alikataza mikutano ya hadhara kila Mbunge afanye kwenye jimbo lako swali nauliza pole pole ni Mbunge wa mwanza? Jamani watanzania wenzangu hii kumbe Ccm wao wanaruhusiwa ila ukawa ndiyo hawaruhusiwi ubaguzi huu wa vyama hatuwezi kukubali na sisi ukawa tuanze na mikutano ya hadhara vyama vyote viko kisheria bana sasa tunasema inatoshaaa View attachment 530078
Huo mkutano uliandaliwa na viongozi wa serikali sio chama ila waliwakaribisha wa chama tawala waongee tofautisha Na mikutano inayoaandaliwa Na viongozi wasio wa serikali
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,124
2,000
Sijui kwanini hadi leo kuna kuwa na woga wa kijinga na wanasiasa wanakosa ujasiri..

Mikutano na maandamano ipo kisheria lakini mtu tu anapiga marufuku na watu wananywea..

Ni bora hata wapinzani wangekuwa wameenda mahakamani kupata tafsiri ya kisheria kuliko kunywa..

Upo wapi uzalendo na ujasiri wa kiukweli wa wanasiasa wa upinzani..!?
 
Jamalm335

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,430
2,000
Ndugu watanzania wenzangu huu ni mkutano mwanza Leo uwanja wa furahisha Mh Katibu na itikadi na uwenezi Mh pole pole akihutubia na Mbunge wa ilemela swali kwa watanzania wenzangu bwana mkubwa alikataza mikutano ya hadhara kila Mbunge afanye kwenye jimbo lako swali nauliza pole pole ni Mbunge wa mwanza? Jamani watanzania wenzangu hii kumbe Ccm wao wanaruhusiwa ila ukawa ndiyo hawaruhusiwi ubaguzi huu wa vyama hatuwezi kukubali na sisi ukawa tuanze na mikutano ya hadhara vyama vyote viko kisheria bana sasa tunasema inatoshaaa View attachment 530078
Katika "utawara" wangu chochote nisichokitaka ni uvunjifu wa sheria na "kire" ninachokitaka basi ni sheria. Sipangiwi na mtu.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,138
2,000
Tunajionea Maajabu Nchi Hii Yaani
James Mbatia Juzi Kwenye Bunge La Bajeti Aliongea Vizuri Sana
Serikali Ipeleke Bungeni Iifanyie Katiba Marekebisho Ili Kuwa Na Ccm Pekee Yake Hapa Nchini Kuliko Kiini Macho Hiki Kinachoendelea Sasa
Tatizo chadema wanajisahau hawajui umuhimu wa serikali wala chama tawala wakipata udiwani tu Na ubunge wanaota mapembe wanajiona tayari wao ndio maraisi wa eneo .msiba wa ndesamburo ulionyesha picha halisi Ya ushamba wa kisiasa walionao chadema hawakumpa nafasi kiongozi wa serikali wala chama tawala hata kusalimia halafu waliweka mabango kuwa ndesamburo ni raisi wa Kilimanjaro. Wapare ambao wako mkoa huo huo wa Kilimanjaro wakasema hawa wachaga bure kabisa huku upareni sehemu kubwa ni CCM wanatudharau na kumfanya huyo mchaga ni raisi wetu wapare wakati hajawahi kuwa hata diwani wala mbunge wetu .hapo wameambulia udiwani Na viti vya ubunge vya kuokoteza wakipewa nchi si wataehuka? Chadema malimbukeni na washamba tena sana wa kisiasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom