KIini cha 'Gongo la Mboto'

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Kuna sehemu dar inaitwa gongo la mboto, nataka kujua chanzo cha jina hili.Hivi ni kweli zamani kuna jamaa aliyekuwa anaitwa mboto alishambuliwa na simba wakamla kila kitu wakaacha mgongo wake tu.Hiyo sehemu alipoliwa ikaitwa gongo la mboto mpaka sasa? Je hii story ni kweli au ?
 
maana halisi ya jina la gmboto ni hili na nilishatoaga tena hapa jamvini kuna mzee alikuwa anaitwa mboto alikuwa muuza gongo maarufu sana na watu walitoka kila pembe kufata gongo na walikuwawakisema naenda kunywa gongo la mboto so likazaa jina mpaka leo
 
Big up! Ahsante kwa nondoz!
 
maana halisi ya jina la gmboto ni hili na nilishatoaga tena hapa jamvini kuna mzee alikuwa anaitwa mboto alikuwa muuza gongo maarufu sana na watu walitoka kila pembe kufata gongo na walikuwawakisema naenda kunywa gongo la mboto so likazaa jina mpaka leo

Na mpaka leo BAA ya kuuza gongo bado ipo eneo lile lile !:teeth:
 
maana halisi ya jina la gmboto ni hili na nilishatoaga tena hapa jamvini kuna mzee alikuwa anaitwa mboto alikuwa muuza gongo maarufu sana na watu walitoka kila pembe kufata gongo na walikuwawakisema naenda kunywa gongo la mboto so likazaa jina mpaka leo
Aisee nilikuwa sifahamu hii.. Sasa inatakiwa iwekwe makumbusho au kwenye vitabu ili isipotee, ni historia.
 
Back
Top Bottom