Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania

Unajijua km unatakiwa ubadilike, ila unakomaza shingo tu... endelea kujidhalilisha
Huyu jamaa km utamfatilia comments zake ktk threads tofauti tofauti utagundua kuwa ni pessimistic sn huwa ni mtu wa negativity cku zote, actually he possesses some characteristics of a troll.
 
moderators naomba hii thread muiweke kwenye timeline ipate kuonekana na wengi
 
Elimu inasemekana ni ufunguo wa maisha. Muhimu katika elimu ni mawasiliano kwa kutumia lugha.Tanzania kuna lugha kubwa mbili ambazo zina uwezo tofauti wa kubeba elimu yetu hasa baada ya elimu ya msingi. Kingereza kina uwezo wa kubeba elimu na fursa zake pale kinap eleweka. Kiswahili kingeweza kubeba elimu ndani ya Tanzania (Africa Mashariki) kama kingekuwa na msamiati wa kutosha, bahati mbaya ukweli unaonyesha mambo bado (achilia mbali ushabiki wa kizalendo). Kingereza kinatupa tabu kwa kutokuwa na walimu wa kutosha na kiswahili hatuna msamiati na walimu wa kutosha pia. Kwa maelezo ya hapo juu ni rahisi zaidi kuwekeza kwenye kingereza na kupata matokeo chanya ndani ya miaka kama 10-15. Kiswahili kwangu mimi ni project nzito inayohitaji serikali na wanachi kujitoa na kuwekeza kisawasawa ndani ya miaka 50-75 ili kiweze kuwa na uwezo wa kubeba elimu kwa level zote. Maneno matupu hayasaidii hapa. Kuwekeza kwenye kiswahili lazima kuende sambamba na ufundishaji bora wa kingereza (kinahitajika kwa mawasiliano na dunia iliyobaki) ndio maana karibu dunia nzima nchi zilizo endelea ambazo hutumia lugha zao, zinautumiaji mkubwa wa lugha za kigeni kama kingereza. Swala sio kingereza AU kiswahili bali ni kuwekeza hadi tuweze kuvutumia vyote kwa pamoja kwa kiwango cha juu.
 
Kuna baadhi ya maneno sikutaka kuyatumia kwa kuepuka mifarakano km huo wa misamiati ya kiswahili kutojitosheleza lkn huo ndiyo ukweli wenyewe na ndiyo maana serekali inashindwa kuruhusu kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia kwa level zote za kielimu Tz, tunabaki kupoteza muda kwa kuanzisha midahalo isiyokuwa na tija wakati ukweli ni kwamba km tutaruhusu kingereza kuwa lugha ya kufundishia tutakuwa tumeisaidia jamii pakubwa sn
 
nilijua huwezi nijibu hilo swali hata iweje, hata Ndalichako hawezi jibu hilo swali co ww tu, na hio ndio maana ya kufungua huu uzi, ss nadhani utakuwa umeelewa concern yng.
Lugha ya kufundushia ni kiswahili na kiingereza kwa hapa tanzania.

Kwa sababu masomo bapa tanzania wanafundishwa kwa lugha hizo mbili.
 
Wana jukwaa habari zenu, kwanza kabisa ningependa kuwapa pole ndugu jamaa na marafiki walioguswa kwa namna moja ama nyingine katika janga hili lililoikumba dunia kwa sasa ugonjwa wa covid-19, pia ningependa kuwatakia afya njema na uponaji wa haraka wagonjwa wote waliokumbwa na kirusi hiki hatari, Mwenyezi Mungu awasimamie na warudi katika hali zao za kawaida wapate kulitumikia taifa, Amina.

Moja kwa moja niende katika mada, wana jamvi kwa dhati kabisa ya moyo niseme kwamba natambua jitihada za serikali yetu adhimu katika kuinua hali za kiuchumi za wananchi kwa kupitia nyanja hii ya kielimu, nasema naipongeza sana serikali kwa hapa ilipotufikisha ama kwa hakika si haba.

Wanajamvi ni ukweli usiopingika kwamba elimu yetu Tanzania imekuwa ikikosolewa mara kwa mara na wanajamii tofauti tofauti wakisema kwamba haikidhi vigezo na wengine kwenda mbali zaidi wakiilinganisha na elimu za nchi jirani kwamba elimu yetu imezidiwa katika nyanja nyingi na elimu ya nchi hizo, binafsi baada ya kufanya uchunguzi nimekuja kugundua kuwa ni kweli kuna baadhi ya maeneo tunapaswa km sio kuyabadilisha basi kuongeza baadhi ya vitu ili kuirudishia heshima elimu yetu ya Tanzania kama ifuatavyo;

1. Kingereza kiwe lugha rasmi ya kufundishia kuanzia primary mpaka chuo.

Ni ukweli usiopingika kwamba mpaka sasa Tanzania hatuna lugha rasmi ya kufundishia kuanzia shule za msingi mpaka sekondari kinyume chake kumekuwa na mikanganyiko isiyoisha wengine wakisema tutumie kiswahili wengine wakisema tutumie kiingereza, jambo hili limekuwa likiwachanganya sana wanafunzi, yani mtu anatoka shule ya msingi ambapo alisoma kwa kiswahili kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba baada ya hapo anakutana na kiingereza uchwara kuanzia form 1 mpk form 6 baada ya hapo anaingia chuo akiwa keshaharibiwa msingi wa lugha anakutana na malecturer ambao wengine huwa hawataki kabisa kusikia habari za kiswahili lakini wakati huo huo kuna malecturer ambao wanatumia kiswahili kufundisha matilio ya kiingereza.

Jambo hili limekuwa na matokeo hasi sana kwa wanafunzi wa Tanzania ambapo inapelekea wengi wao kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao lakini pia kushindwa kuwa competent kwenye sekta nzima ya ajira, hii ni kutokana na ukweli kwamba wengi wao wanatoka vyuoni wakiwa hawana msingi mzuri wa lugha ya Kingereza lakini hapo hapo wakija kuomba ajira wanakutana na interviews za Kingereza na hii ni mpaka interviews za serikalini.

Naiomba serikali ilitazame suala hili kwa jicho la tatu na ikiwezekana ipitishe mtaala wa Kingereza kwani hata baba wa taifa alishawahi kusema kuwa lugha hizi mbili yani kiswahili na kingereza ni muhimu kwa watanzania na ni vizuri tukazijua zote kwa ufasaha, lakini pia haitakuwa dhambi watanzania wakizijua vizuri lugha hizi zote mbili kwakuwa hata bungeni baadhi ya miswada inaandikwa kwa lugha ya kingereza pia kama kingereza kitakuwa lugha rasmi ya kufundishia itapunguza hata gharama katika shule binafsi kwani ni wazi kwamba wazazi wengi wamekuwa wakiwapeleka watoto wao English medium sio Tu kupata elimu bora bali pia kujua vizuri kingereza, ss kama kingereza kitakuwa lugha ya kufundishia katika shule za serikali unadhani ni wazazi wangapi wataacha kupeleka watoto wao English medium?

Hizi hapa ni njia ambazo zinaweza kutumiwa na serikali ili kufanikisha jambo hili;

i. Serikali inaweza ikatangaza kuwa baada ya miaka miwili tutatumia lugha ya kingereza katika kufundisha hivyo kuwataka walimu wote wa shule za msingi mpaka wa sekondari kuhakikisha wanajua kingereza cha kuandika na kuongea (hapa maana yake walimu hasa wasiojua kingereza itabd wapewe tuition ya lugha hiyo),

ii. Hili pia liende sanjari na vitabu vya kufundishia napendekeza nchi nzima itumie vitabu vya aina moja mfano tunaweza tukaamua kutumia vitabu vya Oxford kuanzia primary mpk secondary.

2. Computer liwe somo la lazima kuanzia primary mpaka sekondari.

Ni wazi hakuna asiyejua umuhimu wa computer katika dunia ya sasa, hii inatokana na ukweli kwamba kama watoto wataanza kusoma computer kuanzia primary tutapata wataalamu wengi mno katika kila idara kwani computer ni muhimu katika nyanja zote dunia ya leo. Na hili linawezekana kabisa wala sio gharama kubwa kama tutalinganisha na faida ambazo tutazipata kama taifa.

Nawasilisha.
Wewe bwana...

Sio wewe mtu akiongea Kingereza humu unaanza kumsimanga?

Sio wewe?

Tena unamsimanga sana kama anatoa hoja za kumpinga Magufuli?

Au mzee,sio wewe?Maana binadamu siku hizi tumekua vinyonga!
 
Wewe bwana...

Sio wewe mtu akiongea Kingereza humu unaanza kumsimanga?

Sio wewe?

Tena unamsimanga sana kama anatoa hoja za kumpinga Magufuli?

Au mzee,sio wewe?Maana binadamu siku hizi tumekua vinyonga!
Sijawahi kumponda mtu anayeongea kingereza hata cku moja, mm mwenyewe ni mfuasi mzr wa hii lugha nisichopenda mm ni mtu anayejua kingereza kumuona mwenzake asiyejua km ni mpuuzi wkt c kweli, na pia haifai kudharau lugha yako ya asili but infact kingereza ni muhimu na ni lazima tujifunze kwa bidii zote mkuu.
 
Lugha ya kufundushia ni kiswahili na kiingereza kwa hapa tanzania.

Kwa sababu masomo bapa tanzania wanafundishwa kwa lugha hizo mbili.
Inabidi tuchague lugha moja iwe language of instruction, kwa mm nadhani hapa tulipofika English inafaa kuwa language of instruction.
 
Inabidi tuchague lugha moja iwe language of instruction, kwa mm nadhani hapa tulipofika English inafaa kuwa language of instruction.
Kiingereza imechaguliwa mbona.

Au unakusudia nini kusema language of instruction ?
 
Kiswahili na kiingereza.
Hiyo ndiyo kitu ya ajabu sana, hamuwezi kuwa na lugha mbili za kufundishia, btw in Tz ukitaka kuona maajabu ni kwamba kuanzia vidudu mpk drs la 7 watoto wanafundishwa kwa kiswahili, wakifika secondary wanaanza kutumia kingereza km lugha ya kufundishia jambo ambalo c sawa mana mtoto unamchanganya hajui which is which mwishowe lazima aone elimu ngumu mana vitabu vimeandikwa kwa kingereza lkn wanafundishwa kwa kiswahili.

Ndo mana tunatakiwa tuchague moja ama kiswahili ama Kingereza, walijaribu kufikiria kufundisha kwa kiswahili ngazi zote kuanzia primary mpk chuo kikuu wakaona haiwezekani so wa introduce kingereza tu.
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa lugha za kufundishia ni mbili kiswahili shule ya msingi na kiingereza sekondari ?

Tatizo sio mfumo,tatizo waalimu wanaofundisha wanatukaririsha sana,kwa watoto wengi hawaelewi kitu.

Huwezi kufundisha lugha ya kigeni kwa kutumia lugha ya kigeni.

Lazima utumie lugha ya waenyeji kufundisha lugha ya kigeni ili mtoto ajue will ni "ta" kwa kiswahili.

Sio unamuambia "nitaenda" kwa kiswahili ni "i will go"

Yani hapa mtoto anakuwa robot,hawezi kuongea zaidi ya ulichomfundisha.

Tatizo sio lugha tatizo wafundishaji.
 
Back
Top Bottom