Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,637
- 26,044
Utakapokwenda kuishi Ujerumani, Ufaransa au hata Denmark utaanza kunielewa vizuri zaidi. Wote hao wanaheshimu lugha zao, ingawa wanaelewa Kiingereza. Kiingereza ni lugha tu kama zilivyo lugha nyingine, sio sawa na kuifananisha na lugha ya kitaalam. Eti ujenzi au kwa kitaalam tuinaita construction.Mkuu, mm wala sina shaka na kiswahili mkuu ila ukweli tuuzungumze, hata lile suala la serikali kuwataka shule binafsi zishushe ada sidhani kama ilikuwa ndiyo suluhisho bali wange introduce English na computer katika mtaala wetu huu basi shule binafsi wangeshusha wenyewe ada lkn pia hata performance ya wanafunzi ingepanda sn cz mtu anajengewa msingi tangu chini, ebu angalia maajabu haya mwanafunzi anaambiwa kigawo kikubwa cha shirika zen akifika form 1 anakutana na habari za GCF au LCM, au mtu anafundishwa miaka saba habari za yai-lava-buu-mdudu akifika sekondari mambo yanabadilika ghafla huoni km tunawaharibu kisaikolojia watoto ambapo inapelekea hata kukosa wataalamu wabobezi, lkn shule za medium hata vitabu tu ni tofauti kabisa kule mtoto wa std 5 anasoma vitu ambavyo hawa watoto wetu wanakuja kuvisoma sekondari, na ndiyo maana nika suggest hata vitabu inapaswa nchi nzima tutumie vitabu vya aina moja na co hv vyenye hesabu za kuchagua, uliona wapi hesabu mtu akachagua jibu km history