Kiingereza kibovu cha Staff wa Vodacom. M-Pawa confirmation message

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
IMG_20180710_091407.jpg
 
Kiingereza ni wito ukiitwa na usiitike utapata taabu sana.
Tanzania tatizo siyo lugha ya kigeni au ya kwetu. Tatizo letu liko kwenye elimu. Ni wengi wamehitimu mpaka chuo kikuu lakini hawawezi kuandika hata kiswahili kilichonyooka. Watu hawako makini hata kidogo... bora liende. Kuna siku nilipata msg ya mhitimu wa Masters degree wa chuo kikuu cha Dar nilichoka kabisa na sikuamini kama ni yeye aliandika...
 
Wewe mtoa post acha umbwiga huo kwani wewe ulimtolea huyo jamaa ada ya kusoma English course?

Halafu mwanaume unakuaje snitch hivyo!!
 
Back
Top Bottom