hiram JF-Expert Member Aug 1, 2013 266 393 Sep 4, 2021 #1 Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi
Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi
Mtu na nusu JF-Expert Member Jan 9, 2020 636 1,115 Sep 4, 2021 #4 Wewe ungeandika nini? Acha nongwa yuko sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
Memento JF-Expert Member Jun 13, 2021 4,423 9,962 Sep 4, 2021 #5 Mikono inataka kuandika English nzuri Ila ubongo hautaki Alafu anajikuuuta
Ngai Moko JF-Expert Member Mar 21, 2016 1,238 1,616 Sep 4, 2021 #6 Kama tafsiri hiyo inashida ungetutafsiria pasipoti na shida ili tuelimishane
Shamkware JF-Expert Member Nov 25, 2013 1,740 2,242 Sep 4, 2021 #7 anajifanyaga mzungu sana huyu dogo
T The Assassin JF-Expert Member Oct 30, 2018 4,355 17,321 Sep 4, 2021 #8 Kuna kukosea na kuna kuharibu maana ama dhana nzima ya sentensi. Huyo amekosea kidogo tu.
Pacbig JF-Expert Member Oct 15, 2017 1,095 2,079 Sep 4, 2021 #9 Hebu tuambie kakosea wapi, mbona yuko sawa tu. Shida ulitaka atafsiri neno kwa neno, wakati yeye kaeleza moja kwa moja maana ya sentesi nzima.
Hebu tuambie kakosea wapi, mbona yuko sawa tu. Shida ulitaka atafsiri neno kwa neno, wakati yeye kaeleza moja kwa moja maana ya sentesi nzima.
N Nephrone95 Member Jul 15, 2021 12 12 Sep 4, 2021 #12 hiram said: Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi View attachment 1923845 Click to expand... Uibomoi ndio nini Kiswahili TU kibovu
hiram said: Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi View attachment 1923845 Click to expand... Uibomoi ndio nini Kiswahili TU kibovu