kiingereza hiki cha mtangazaji Kotinyo

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi
kotinyo.jpg
 
Mikono inataka kuandika English nzuri Ila ubongo hautaki
Alafu anajikuuuta
 
Kama tafsiri hiyo inashida ungetutafsiria pasipoti na shida ili tuelimishane
 
Kuna kukosea na kuna kuharibu maana ama dhana nzima ya sentensi. Huyo amekosea kidogo tu.
 
Hebu tuambie kakosea wapi, mbona yuko sawa tu.

Shida ulitaka atafsiri neno kwa neno, wakati yeye kaeleza moja kwa moja maana ya sentesi nzima.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom