Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 16,844
- 16,737
Hiyo ni pronunciation ya wapi?
Or prof-voco-nunciation?
Prof = professor
Kazi sana, imagine, how can you pronounce english words like that? 😤😤
Haina shida kwani kasomea kiingereza??Huyo ni Prof. wa HESABU sio kiingereza. Hivyo mimi sioni shida.
...Ndiyo huyo huyo, Mkuu! Mbona inakuwia vigumu kuamini?Mimi namuongelea ANDREW CHENGE a.k.a vijisenti aliyekua mbunge,. Mzee Fulani toka simiyu
Mwanafunzi akiwa exceptional darasani haimaanishi atakuwa vizuri kila mahali...alitakiwa abaki chuoni afanye research lakini ndio siasa zetu zinavyoenda, ukishakuwa na PhD basi unakuwa kiongozi automaticallyKama ni kweli basi uchawi upo asee. Haiwezekani kabisa huyu akawa exceptional. Ni moja ya mawaziri wa hovyo kuwahi kutokea duniani.
...na vinaweza pia chini zaidi kuliko cha Mamaa!Kiingereza cha huyo mama kinawakilisha Watanzania wengi sana!
Naamini hata wanaomsema humu kwamba hajui Kiingereza, ukivisikia Viingereza vyao, si ajabu havina tofauti na cha kwake.
Natamani sana siku nivisikie Viingereza vya wana JF….hahahahaa.
I can guarantee you havina tofauti kubwa na cha huyo mama.
😎mkuu mimi mwenyewe shule kengere ilitundikwa kwenye muembeWe jamaa avatar yako tu inaonesha unapenda taarifa negative za watu ili ufurahie.Hauko positive minded😁😁
Hapana alitoka form six moja kwa moja. Kuna kaka yake alikuwa anaandika Daily News alikuwa ni columnist wakati akichukua FTC Dar tech wakati huo anaitwa Laurent Ndalichako. Prof ni mkali sana wa hesabu usisikieHuyu mama alianza na ualimu wa primary school
Mfumo wa elimu wa Canada unaruhusu kuruka steps, ni juhudi yako tuAlipata PhD in Educational psychology (Major in educational statistics & measurement and evaluation.) Kutoka University of Alberta, m Edmonton, Alberta, Canada ni chuo ambacho ni very prestigious kwa Canada na duniani kiujumla ! Kwa habari za chini chini hakusoma alirushwa kutoka Masters kwenda PhD kwa sababu alikuwa an exceptional scholar
Mkuu watu Wana feli interview kwa matamshi ya hovyo ya kizungu Sasa iweje hata wa maPDH nao I we Yale yaleAibu sana karne ya 21 bado jitu linaangalia kingereza kama sehemu ya mtu kuwa intelligent...
Mleta uzi wee ni wa hovyo sana