Kiingereza cha Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako akiwa MUHAS. Inasikitisha

Apumzike kwa amani mtu ambae aliteka watu,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,udini,ubaguzi wa rangi kwa wafrika wenzake,kuua uchumi,kudanganya data za uchumi,wateule wake kubaka na kulawiti(Akina Sabaya),kuua uhuru wa kujieleza,kuua demokrasia,kibaka wa wizi wa kura,kututukania dada zetu pamoja na Mama zetu na kadhalika?

Nakumbuka siku alipokufa nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru Mola kwa kuniondolea uchafu katika Taifa langu.
It won't save any purpose
 
Mkuu imagine amekwenda Ghana halafu akatambulishwa kwamba ana PhD, Ni profesa halafu Ni waziri wa elimu. Na wewe uko kwenye huo msafara. Niambie watakua wanakufikiriaje?
Sijui nani amefanya njama kumpeleka hapo aaibike namna hivyyo🤣🤣
 
First Degree kasoma University of Dar es salaam

Masters ndo kapiga Harvard…. Post graduate education kwa hicho chuo wala sio big issue mkuu.

Mtu anaesoma HARVARD maswala ua Engineering kwa post graduate mpe heshima yake hasa kwa nchi zetu za Kiafrica ujue amepita mchujo si chini ya 5
 
Harvard alisoma shahada gani?

Maana shahada za postgraduate kwenye hizo Ivy League institutions hazina prestige kama za undergrad. Selection yake si sawa na selection ya undergrad.

Hata Kinana na Sumaye ‘wamesoma’ Harvard.

Kama Chenge alisoma undergrad yake Harvard, then I’ll be impressed.

Nje ya hapo, hakuna kilicho impressive maana hata Swizz Beatz ‘kasoma’ Harvard.

Ila jiulize, kasoma nini na katika kiwango kipi…

Naona watu wakiona tu neno ‘Harvard’ basi wanadhani chochote kile cha kutoka hapo ni cha ujiko.

Si kweli.

 
Back
Top Bottom