Kihongosi: Mahakama haiingiliwi

"Wenzetu wa CHADEMA wamekuwa wakitoa kauli za kuitaka mahakama kumuachia kiongozi wao, tunapenda kuwaambia kuwa mahakama haingiliwi,waiache ifanye kazi yake ya utoaji wa haki kama kiongozi huyo ameonewa au tuhuma hizo ni za kweli mahakama itasema".

Darmpya


View attachment 1987736
Mpuuzi huyu angeanza kukanusha kile Jaji mstaafu Chande alipomwambia Mgagufuli ( mwendazake) kuwa vimemo vinavyoingilia mahakama vinawapa wakati mgumu.
 
Back
Top Bottom