Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,079
Inakuwaje utaratibu wa kuruhusu magari? Maana sielewi FIFO au LIFO. Inachosha sana mtu unafika muda mrefu halafu magari yanayokuja nyuma yako yanapitishwa tena maroli kweli tunaomba TEMESA mfanye haki