Kiherehere cha Mtangazaji na Mchekeshaji huyu ndiyo chanzo cha Mama Mndeme kuhamishwa Mkoa

Kweli kwa hii iliyomtokea mi naichukulia kama mkuu amem-demote. Kama anajitambua aache huo uswahili, ushosti na majungu otherwise hali itakuwa ngumu kwake.

Kama uliangalie vizuri pale wakati Mheshimiwa Rais amemaliza kuzungumza na akawa anaanza kuja kuwasalimu akina Mama Samia Suluhu ( VP ) kisha CJ Professor Juma na alipofika tu kwa Spika wa Bunge Ndugai alikaa dakika kadhaa huku Spika Ndugai akionyesha kumbembeleza Rais na kama vile ' kumshawishi ' amwache Mama Mndeme Mkoani Dodoma ambapo yeye pia ( Spika Ndugai ) yupo kama Mbunge wa Kongwa lakini ' body language ' ya Rais JPM na vile alivyokuwa akimjibu ni dhahiri shahiri kwamba Rais hakupendezwa na huo ' Uswahili ' wa huyo Mama na kwamba pengine hata huko kumpeleka Mkoani Ruvuma hakupenda ila labda kwakuwa aliona alishamteua jana yake halafu tena alikuwepo pale Ukumbini ' Kikwete ' hall akaona ampotezee tu. Yaani kwa sasa hivi huyo Mama inambidi awe makini na mwangalifu mno na nakubaliana na ' Mdau ' mmoja hapo juu kwamba hata huko Mkoani Ruvuma kapelekwa tu ' Kimajaribio ' ila sidhani kama atadumu unless aachene na hizo tabia zake alizokuwa nazo huko Dodoma.
 
Kweli mkuu, ndio maana nikasema anaweza kuwa yuko ktk probation period bila kujua.
 
Dada yake alipigwa mtama chini puuuuh kisha akaachwa hapo chini kwa muda sana na alipokuja kunyanyuliwa na amekoma kabisa kwani sasa heshima haongei tenaaaaa.
Ila majungu wamezoea aiseee but nawaambia kuwa kuna watu duniani wanatisha kwa fitna ila ishatokea.
Nilinote kitu alipokuwa akiongea baada ya kuapishwa... She must be under escort of someone!!!
 
Apeleke huko sasa hayo ' majungu ' yake. Kama alivyoteuliwa ile jana angetulia zake kimya tu na kutoonyesha kumcheka ' Bosi ' wake Rugimbana na kumpiga majungu na mafumbo mafumbo kwa kushirikiana na ' mashosti ' zake nadhani kama sijakosea na kumbukumbu zangu hazijakosea huyu Mama Mndeme leo angeweka ' rekodi ' ya kuwa mwana Mama wa Kwanza nchini kuwa Mkuu wa Mkoa tena wa Mji Mkuu wa Tanzania Dodoma ( Idodomya )
Unauhakika angekuwa wa kwanza?
Kama anamapungufu hayo solution ilikuwa ni kutengua uteuzi wake na sio kumbadilisha kituo.
Kila siku tunalaumu humu walio wabovu wasihamishwe vituo,wewe leo unapongeza.
 
Huyo Mama Mndeme amejiharibia mno ' Ulaji ' wa hapo Dodoma na sasa kapelekwa kwa ' Wagumu ' asilia huko kwa ' Watani ' zangu wakubwa upande wa pili ' Wangoni ' na huko kwa ninavyowajua ' Wangoni ' mziki atauona. Ataogelea sana katika Mto Ruvuma hadi atie ' akili '. Haya Watani zangu upande wa pili Wangoni Mama huyo amekuja huko Kazi kwenu sasa!
Mkoa wa Ruvuma sio mgumu mkuu,ni moja ya mikoa bora ya kujichukulia ujiko kwa utendaji wako.
kuna uzalishaji mkubwa sana pamoja na uwekezaji.
Unafursa nyingi sana ambazo kama unajielewa unajijengea sifa lukuki mbele ya Rais na wananchi unao watumikia.
Hapo Dodoma ni pasua kichwa,kila siku wakubwa wapo ishu zikienda hivyo kidogo umeonekana na chans ya kutumbuliwa ni kubwa sana.
 
Apeleke huko sasa hayo ' majungu ' yake. Kama alivyoteuliwa ile jana angetulia zake kimya tu na kutoonyesha kumcheka ' Bosi ' wake Rugimbana na kumpiga majungu na mafumbo mafumbo kwa kushirikiana na ' mashosti ' zake nadhani kama sijakosea na kumbukumbu zangu hazijakosea huyu Mama Mndeme leo angeweka ' rekodi ' ya kuwa mwana Mama wa Kwanza nchini kuwa Mkuu wa Mkoa tena wa Mji Mkuu wa Tanzania Dodoma ( Idodomya )
Inamaana hakuna mwanamke aliyewahi kuwa RC hapa nchini Mkuu? Na kama ni kuwa Dodoma hivi yule wa Singida hajawah kuwa hapo Dom? Ufafanuzi tafadhal
 
Mkuu mleta bandiko,
huko kwa kina bambo ndiko atatokea huko ili aende mapumzikoni.
Unamkumbuka magesa mulongo alipelekwa mara,halafu kilichofuata itv mwenyewe unajua.
Si lazima iwe hivyo. Kumbuka Mama Ana Makinda alikuwa Mkuu wa Mkoa huo na akaja kuwa Speaker
 
Apeleke huko sasa hayo ' majungu ' yake. Kama alivyoteuliwa ile jana angetulia zake kimya tu na kutoonyesha kumcheka ' Bosi ' wake Rugimbana na kumpiga majungu na mafumbo mafumbo kwa kushirikiana na ' mashosti ' zake nadhani kama sijakosea na kumbukumbu zangu hazijakosea huyu Mama Mndeme leo angeweka ' rekodi ' ya kuwa mwana Mama wa Kwanza nchini kuwa Mkuu wa Mkoa tena wa Mji Mkuu wa Tanzania Dodoma ( Idodomya )
Rehema nchimbi aliwahi kua Dodoma kama sijasahau.
 
Tatizo lake ana nyodo sana huyu mshua
Sijui kwenye hilo Ila kwa upande wa kujenga hoja ni moja ya watu nawakubali sana. Pili huwa haongei uongo na kama ukifuatilia thread zake huwa zinaukweli sana. Na hata baadhi ya mambo anayo yazungumda utasikia baada ya muda serikali inayafanyia kazi au yanatokea. Wahenga wanasema baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Back
Top Bottom