Kigwangalla njoo hapa Maili Moja, Kibaha kuna dispensary ya kitapeli ya wakorea

namtombe

Member
Jan 8, 2016
53
14
Nakuomba naibu wa afya ufanye shitukizi la kuja hapa mail moja kuna wakorea wanaibia watanzania balaa wana kifaa unashika mkonon kina smaku afu wanakuambia magonjwa yote mwilin nilienda hapo juz kukishika tuu niliambiwa laki acha waanze kuniambia magonjwa oh mapafu yameoza ubongo una mafuta una presha una sukari main mabovu figo mbovu macho mabavu nilichoka afu matibabu wakaniambia dawa laki 5 nilikimbia nusu kufa hv hawa wakorea wanapiga je hiz ela wanalipa kodi kweli? Ebu njoo ukague Huduma zao
 
Mkuu magonjwa yote hayo uliweza kukimbia .
 
Naisikia hii Hospital kuna ndugu yangu alinipa habari zake, nasikia pia wana sajili watu unalipia kama insurance kwa mwaka,hawa jamaa mpaka serikali ije kutia mkono wake wamshakuwa mabilionea ,maana haijaanza leo hiyo hospitali ina miaka kadhaa sasa
 
Umenena mkuu yaani wanajichukulia hela kilainiiii afu wapo mafichoni mafichoni imewakamata watu balaa ebu tembelea apo ujionee
 
Back
Top Bottom